Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari Habari za kuaminika za kutoka chanzo changu ninachokiamini kabisa zinanitaarifu niwaambie wale wanaotaka kusafiri siku hizi za karibuni wajiandae haswa Madereva wote wa mabus wa...
5 Reactions
45 Replies
6K Views
Nimetafakari sana kwamba tunakoelekea taarifa zetu zilizoko NIDA ndizo pekee zitakazotumika kufanya usajili wa mambo mbalimbali. Kupata Passport, kuandikishwa kuwa mpiga kura, kufungua akaunti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni ushauri Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua biashara /? Biashara yenyewe ni duka kubwa la jumla la vitu vya nyumbani ,Vipodozi na vinywaji. Manunuzi yanahusisha eneo lote...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
WALIMU WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM NI WAUMINI WA CCM? Wengi wamekua na mitazamo ya upinzani katika maandishi yao, lakini ukiyasoma na kuyadadavua kwa jicho la kichambuzi utang'amua kua ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*Kafwafwa Nenda tu nasema nenda tu kama issue n chapaa huko ndipo inapopatikana kwa urahisi* KUMBE KWELI, NDIYO MAANA....? Prof Juma Kapuya alifundisha Botany pale mlimani, lakini...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni ukweli unao uma..Vijana walio zaliwa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni wana uthubutu mkubwa wa kufanya mambo kuliko walio zaliwa miaka ya themanini na sabini... Nadhani sababu kuu ni moja...
3 Reactions
135 Replies
11K Views
Wakuu habari ya jioni Niking'amzi kipi kitanifaa msimu huu wa kombe la ulimwengu ambacho kinabei poa ya vifurushi na kukinunua chenyewe nahitaji na fundi wa kunifungia
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Huu ni wakati wa wanafunzi kuomba mkopo bodi ya mikopo. Adha inawakuta zaidi wazazi au wanafunzi wanaoomba mkopo kwa mala ya kwanza. Bodi imesisitiza, ukikosea kujaza fomu , basi mkopo hupati. Ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimewahi kusafiri kwa basi kutoka Mwanza kuelekea njia ya kwenda Bukoba kwa kupitia kivuko cha Kigongo - Busisi. Cha ajabu ni kwamba abiria wanashushwa umbali wa karibu nusu kilometa hadi kufikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee wa jiji ebu fanya hii kuna watu wamewachukua watoto wawatu uko vijijini ajabu mshahara hawawapi, hawajui watasemea wapi nani atawasaidia. Ebu fanya hii kusaidia hawa watu.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wana jf Nmekua sio msomaji ww biblia mara kwa mara lakini leo nmepitia Agano jipya Kitabu cha Mathayo Mt .. Mathayo2:2 tazama! wanajimu kutoka Mashariki walikuja Yerusalemu, wakisema...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amesimamisha shughuli zote za mgodi wa dhahabu wa kampuni ya Gabriel Resources uliopo katika kijiji cha Mlima Njiwa wilayani Chunya baada ya mgodi huo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari toka kwa watu wa karibu wenye ufahamu na suala hili, wanasema kuwa aliyekuwa Askari Polisi na kutiwa hatiani kwa mauaji ya Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi, amekata rufaa na rufaa yake...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mheshimiwa Spika Kwa mujibu wa kumbukumbu zilizopo ni takriban asilimia 15 tu ya ardhi ya jumla nchini ndio imepangwa nakupimwa. Hali hii inafanya ardhi isiwe namchango mkubwa katika uchumi wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo May 30, 2018 Vijana 11 raia wa Tanzania wanaoishi Johannesburg nchini Afrika Kusini, walioshtakiwa kwa kosa la ubakaji wameachiliwa huru na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Johannesburg. Vijana...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Historia ya Mamadou Gassama imebadilika kwa kitu kidogo sana UTHUBUTU. Imempa nafasi kukutana na Rais wa Ufaransa, na Gavana wa Paris amempa jina la "Spiderman Wa Paris" Huyu Jamaa ni Muhamiaji...
8 Reactions
6 Replies
3K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amesema atalazimika kutumia Jeshi la Polisi kusimamia zoezi la usafi na ujenzi wa vyoo salama katika Kijiji cha Namasinzi, baada ya wananchi hao kushindwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana Board, Nimesoma habari iliyoandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 30 Mei, 2018 (Pg 3) inayosema ''Waziri, wanasaikolojia wazungumzia kukithiri matukio ya watu kujiua'' Kuna...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Dah sijui nianzie wapi, from nowhere imenibidi niandike jina la Dr. Mwalimu wangu George Jambiya google ili nijue his where about, I have like 4 to 5 years sijamtia machoni. Mara ya mwisho...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa uchunguzi mfupi nilioufanya kuhusu boda boda ambao ni hatarishi zaidi katika usalama wa barabarani na abiria wao pia ni wa aina hii: 1.kanyoa kiduku na mavazi yake ni ya kihunihuni bila...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…