Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,741
Habari wana Board,
Nimesoma habari iliyoandikwa kwenye Gazeti la Mwananchi la tarehe 30 Mei, 2018 (Pg 3) inayosema ''Waziri, wanasaikolojia wazungumzia kukithiri matukio ya watu kujiua''
Kuna matukio kadhaa yameainishwa huku likiwemo lile la Dr. Mejo Banikira (43) wa Kakonko Kigoma. Kabla ya kuhamishiwa Kakonko, Marehe alikuwa anafanya kazi Simanjiro.
KUna sababu kadhaa zimeianishwa humu ziwemo msongo wa mawazo na ile kuu ya watu kushindwa kuvumilia matatizo tanayowakuta, na hivyo kuona kuwa Suluhisho pekee ni Kujiua.
Kwa afrika, Tanzania tunashika nafasi ya 27, na katika EAC tunashina nafasi nne kwa matukio ya kujiua. Inayoongoza ni Rwanda(asilimia 8.7), inafuatiwa na Burundi(asilimia 8), uganda(asilimia 7.1) then Tanzania(7%).
Wewe kwa muono wako unaonaje?