Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Naombeni ushauri
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia unapotaka kununua biashara /?
Biashara yenyewe ni duka kubwa la jumla la vitu vya nyumbani ,Vipodozi na vinywaji.
Manunuzi yanahusisha eneo lote la duka na bidhaa.
Asanteni