RC Makonda, ita wadada wa kazi majumbani ambao hawalipwi mishahara na maboss wao hawana pa kusemea

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,448
9,364
Mzee wa jiji ebu fanya hii kuna watu wamewachukua watoto wawatu uko vijijini ajabu mshahara hawawapi, hawajui watasemea wapi nani atawasaidia.

Ebu fanya hii kusaidia hawa watu.
 
Hivi unaanzaje kuishi na mtoto wa watu; anakufanyia shughuli zote za ndani, plus kukupikia; Na bado unajiamini kiasi cha kutomlipa mshahara??! Tena wengine wana watoto wadogo na bado haiwasumbui kuacha watoto wao na mtu ambae hawajamlipa ujira wake!!!:confused::confused:
 
Mzee wa jiji ebu fanya hii kuna watu wamewachukua watoto wawatu uko vijijini ajabu mshahara hawawapi, hawajui watasemea wapi nani atawasaidia

Ebu fanya hii kusaidia hawa watu.
Hapo nakuunga mkono taarifa hii imfikie mtetezi wa wanyonge wengi wamezulumiwa ma house girl na boy
 
Ha ha ha ha ah kwa hiyo huyu bwana kazi yake ni kuita tuu i wonder mmmh ngoja niende zangu mie... vipi wale waliotelekeza watoto? vipi tezi dume amefikia nyumba ngapi mpk sasa? vipi zile kontena zimepata mwenyewe........... ngoja niende kutafuta mie ya Eid leo chungu 14
 
Mzee wa jiji ebu fanya hii kuna watu wamewachukua watoto wawatu uko vijijini ajabu mshahara hawawapi, hawajui watasemea wapi nani atawasaidia

Ebu fanya hii kusaidia hawa watu.
Kwa hii Idea itabidi akulipe tu maana bonge la kiki shida ni jee itamsaidiaje kwe mambo yake kama kawaida
 
Kwa hii Idea itabidi akulipe tu maana bonge la kiki shida ni jee itamsaidiaje kwe mambo yake kama kawaida
Mabinti wanateseka sana mzee pengine akiwaongelea watasaidiwa yani likiwepo hata dawati tu la kusikiliza kero zao katika ofisi yake inaweza kusaidia maboss kuwapa stahili zao hawa watu
 
Back
Top Bottom