Dah sijui nianzie wapi, from nowhere imenibidi niandike jina la Dr. Mwalimu wangu George Jambiya google ili nijue his where about, I have like 4 to 5 years sijamtia machoni. Mara ya mwisho nilimuona Regency Hosp akiwa amedhoofu nafikiri alikuwa na sukari the way nilivyomuona. Sasa nimeona mtu ameandika RIP Dr. George Jambiya huko google. Alikuwa bosi wangu REPOA, ni Mwalimu wangu na nilimpenda sana. So sorry for myself and the family.