Vi rendra
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 3,329
- 5,759
Habari wana jf
Nmekua sio msomaji ww biblia mara kwa mara lakini leo nmepitia Agano jipya Kitabu cha Mathayo Mt ..
Mathayo2:2
tazama! wanajimu kutoka Mashariki walikuja Yerusalemu, wakisema: “Yuko wapi yule aliyezaliwa awe mfalme wa Wayahudi?+ Kwa maana tuliiona nyota yake tulipokuwa Mashariki, nasi tumekuja kumsujudia"
Halafu tena Mathayo 2 hio hio Mstari wa 9
" unasema Baada ya kumsikiliza mfalme, wakaondoka, na tazama! nyota waliyokuwa wameona walipokuwa Mashariki ikawaongoza mpaka iliposimama juu ya mahali alipokuwa yule mtoto.
Nmekua pia Mtazamaji wa Series za kikorea hasa historical. kuna Series moja inaitwa Shine or Go Crazy.. kuna mahala wamezungumzia kuhusu Nyota ,kwamba mnajimu aliona nyota ya prince aliezaliwa kuwa atakuja kuwa mfalme ajaye.
Sasa najiuliza hii elimu ya Nyota kama ndio kweli ina Define destiny ya mtu mbona zama hizi haipo? Je ni kweli Nyota inabeba maana ya maisha ya mtu ya sasa na ya baadae? kwanini hatuzitumii nyota tena?
Karibuni wapendwa!!!