Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba mwenye syllabus ya english medium kwa hatua ya day care,middle,pre school anisaidie. Kwa ambazo zimekubaliwa na wizara ya elimu TZ.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HAKUNA AKIYEWAHI KUWA TAJIRI KWA KUIGIZA MAISHA YA KITAJIRI Usiishi maisha ya kuridhisha watu katika mitandao kuwa una maisha mazuri wakati sio kweli,tambua hata kama unalala chini basi hayo...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Unakwenda kumtembelea kaka yako na huyo kaka yako ana mtoto wa umri miaka 5 anadeka hatari. Unakaribishwa ndani mnasalimiana, kisha mtoto anaambiwa akusalimie anasema sitaki. Mara unasikia...
33 Reactions
254 Replies
20K Views
Ama kweli maisha ni kuchagua Kuna jambo nimeliona chini ya jua, kwangu naliita ni ubatili na kujilisha upepo Unakuta mmezaliwa sita ndani ya familia Wote mmelelewa malezi sawa katika mazingira...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Tofauti ya MAANDAMANO na MATEMBEZI. Maandamano; ni kupigania jambo ambalo limekosa Suluhu kila eneo na hivyo nguvu ya ziada inatumika kupata Suluhu.(VURUGU) Matembezi; ni kupigania jambo fulani...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Babu yangu Mzee Ismail Kisandu alipoteuliwa kuwa Waziri kwa jina feki utawala wa awamu ya tatu sikushangaa mpaka leo, na Baba yangu Mzazi Nalimi Kisandu alipoteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya baadae...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua nauli ya ndege za FAST JET kutoka Dar-es-salaam hadi MWANZA ni shilingi ngapi kulingana na daraja?.... halafu unachukua mda gani kupata tarehe ya safari tangu siku mtu...
0 Reactions
57 Replies
28K Views
Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Note4. Nimekuwa nikiitumia nikiwa mjini, sasa nimeenda kijijini, yaani hata laini tu haisomi. nisaidieni wakuu! Maana MUDA WOTE IMEANDIKA EMERGENCY CALLS ONLY pia...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu, Huu wizi wakuibia wateja wa mafuta ktk haya masheli unakera. Jana nilienda kununua petrol lita 2 cha ajabu ktk chombo inasoma lita moja na nusu. Hii ishu nimeiona huku Geita live na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huwa nakereka sana pindi nionapo picha kwa mfano watoto wa Shule za binafsi wakitembelea Bunge letu, sipendi kabisa sema sina uwezo wa kuwazuia Ningefarijika sana kama Watoto wetu wa Shule za...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Ndugu habari za leo? Mimi ni mzima wa afya, naomba mnishauri nijiunge na mfuko gani wa kijamii kwa manufaa ya baadae? Ninapata mkanganyiko maana kila mmoja anavutia kwake, na hivyo nimeona nije...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Stori kuhusiana ishu ya Tajiri namba moja Afrika Aliko Dangote kutangaza kuwa yupo single na akitokea Mwanamke yupo tayari kumuoa zinaendele kushika headlines ambapo asilimia 66 ya wanaume...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Nimewaza ghafla tuu na picha yake kunijia akilini ya huyu kamishna wa jeshi la polisi wa mkoani mbeya maana sijamsikia kitambo kuzungumza kutokana na matukio yanayotokea mkoani...
1 Reactions
67 Replies
14K Views
Je, Tanzania inataka kufanana na Palestina? Kwa hali halisi kisiasa, haiwezi kutengeneza sura yenye kufanana na nchi hiyo. Ndiyo. Wapalestina wamekuwa wakishuhudia wabunge wao wengi wakifungwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu watanzania na wale wote mnaonisapoti nawaomba kufika kwa wingi ili kushuhudia kile kitakachoendelea, najua wengi mnajua fika niko nje kwa Dhamana baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 50. Mungu...
7 Reactions
75 Replies
8K Views
Kuna mtoto furani hivi nilikuwa napita nae kipindi kile of course sikuwa najua kama ni wakusoma au lah maana mazingira niliyokutana nae ile siku ya kwanza ilikuwa ni ngumu kumdertermine kama ni...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Mimi ni mwalimu lakini kipindi nikiwa o-level moja ya ndoto zangu ilikuwa ni kusomea pharmacy ili nije nifungue duka langu la madawa muhimu na kuuza mwenyewe lakni ilibidi nibadili baada ya...
0 Reactions
5 Replies
844 Views
Ukiona hauna bima na ukapelekwahospali ya serikali na hauna pesa ujue unakufa bila huduma, dawa hakuna, Navilevile hata ukienda duka ladawa, basi dawa zote zimepanda bei sana
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, kwa wataalam na wazoefu au ambaye amewahi kupatwa tatizo kama lililonikuta tafadhali naomba msaada wa kitaalam na kiufundi pia, ninatumia simu ya Tecno Phanto 6 Plus toka...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Naombeni msaada wa kifungu kuhusu wafungwa na haki zao wajuzi wa mambo nijisomee
0 Reactions
1 Replies
514 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…