Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Madaktari bingwa wa upasuaji wa maradhi njia ya mkojo wanasema ajali, saratani ya kibofu na maradhi ya njia ya mkojo ni sababu za kasi ya kukua kwa tatizo la fistula kwa wanaume nchini. Wakati...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wana jamii forum, mimi nimekutana na kituko hiki siku ya tarehe moja May 2018, ambapo taa nyekundu iliniwakia nikiwa nilishakuwa katikati ya makutano ya barabara ya Mwenge nikieleklea Lugalo...
8 Reactions
45 Replies
6K Views
Hakika viongozi wetu kuna jambo mnatakiwa mfanye, ni kwanini jiji letu pendwa, lisiwe na vyoo vya umma katika maeneo yote ya jiji hili. Anzia Ferry, ukifika Posta ya zamani baharini ndo kuna choo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa Magufuli anatelemsha data za barabara,na juu ya Wizara ya Ujenzi na vitengo vyake!!Msikilize!
2 Reactions
50 Replies
7K Views
Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Panda Kinasa mwenye miaka 36 anayetuhumiwa kuwa kinara wa utekaji watu ameuwawa kwa kupigwa na risasi makalioni wakati akijaribu kuwatoroka polisi baada ya...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Wasalaam, Hakika tumo kwenye utandawazi, miongoni mwa tabia zake ni mawasiliano, wezi na vibaka nao hawapo nyuma. Wiki hii nimeshuhudia watu watatu wakiporwa simu tukiwa kituoni. unapokuwa...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Jambo hili hunishangaza,ukiingia mikoa yote ,utaona ubao, KARIBU MKOA WA MOROGORO,IRINGA,DAR,MBEYA NK. Lakini mara ahhh "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"
0 Reactions
117 Replies
34K Views
Nilikuwa naangalia habari hapa itv huko Bariadi Simiyu, gari ya zimamoto imeenda kuzima moto imefika tu maji yakamwagika yote kutoka kwenye gari wananchi wakaanza kuchota maji chini na mchanga...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu poleni na kupambana na vyuma, Baada ya Serikali kuleta sheria na mambo yasiyoeleweka napendekeza kujiunga kwenye mifuko ya jamii iwe hiari maana tunaleteana tu umasikini kwa hali ilivo sasa...
0 Reactions
2 Replies
685 Views
umewahi kukutana na situation za kuabisha na kufedhehesha moja kati ya hizi? 1. umekula karibia siku mbili hujajisaidia...upo peke yako kwenye lift umetoa gesi ghorofa inayofuatia tu anapanda...
8 Reactions
41 Replies
5K Views
Malcolm X was killed by his own teachings. He taught violence and he was killed violently.... Hii ni changamoto kwa viongozi wa dini & siasa wanao hamasisha violence
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Viongozi wa Manispaa ya Kinondoni wakibadilishana mikataba mara baada ya kutiliana saini ya ujenzi wa miundombinu hiyo baina yawakandarasi wa Kichina. Manispaa ya Kinondoni imeingia makubaliano...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wadau; Naomba kufahamu ile instrumental inayosindikiza katuni za mtu kwao na Nathan Mpangala baada ya taarifa ya habari na ITV, imepigwa na nani na ninawezaje kuipata kwa lengo la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo June 5, 2018 Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma kutoka kampuni ya Maxcom wametolea ufafanuzi suala la kuosekana kwa huduma ya tiketi za kielektroniki kwenye baadhi ya vituo vya mabasi ya...
0 Reactions
66 Replies
8K Views
Meneja wa Mawasiliano ya wateja wa TBL, David Tarimo akitoa ufafanuzi wa promosheni ya Kilimanjaro kwa waandishi wa habari,kulia ni Afisa kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha,Hamidu Semvua na Raj...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Binafsi nilishakua mteja wa NMB nikaachana nao, nikaja CRDB niliposettle hadi leo,nikaionja Stanbic sikukaa, baadae nikaja bank ya posta nikaona hovyo. About 3 months ago nikaingia rasmi Exim...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Mwaka jana akiwa Waziri wa Afya uliagiza James Delicious, Dani mtoto wa mama, Kaoge na kadhalika wakamatwe kwa kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya jinsia moja. Lakini imetushangaza wengi siku...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Halotel mimi ni wakala malalamiko ni mengi, yaani mteja akikosea kukwangua vocha namba baadhi zimefutika ni mpaka mteja aende duka la Haloshop ndipo apewe vocha nyingine. Sasa maduka ya Halotel...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Utakuta ukiwa ofisi fulani unadharaulika sana na kupigwa danadana kibao kupata huduma. Sasa aje mzungu, utaona wenye ofisi wanavyobabaika kumchangamkia na kujitabasamisha na broken kibao...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 35 kwa tuhuma za kuchoma moto gari lililowagonga watoto wawili wa familia moja na kusababisha kifo cha mmoja wao katika barabara ya Igombe eneo la...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom