Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Wadau, Ninaweza kuanza kwa kusema kwa sasa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya juu (HESLB) wajipachika majukumu ya ukukusanyaji wa mikopo kutoka kwa wanufaika wake kwa kuwaibia walipaji...
5 Reactions
11 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Idara ya Usajili wa Vyama vya Kijamii, Marlin Komba amerejeshwa kazini 'kimyakimya' na amehudhuria kikao cha viongozi wakuu wa wizara ya ya mambo ya ndani wakati walipotembelewa na...
5 Reactions
52 Replies
7K Views
Yaani Watu badala sasa ya Kumpa pole au kuwapa Pole ' Wafiwa ' na hasa hasa kumuombea Marehemu Patrick ili Mwenyezi Mungu ampokee huko aendako akishawekwa katika Nyumba yake ya Milele sasa Watu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni vyema tukelezwa bila kufichwa ukweli.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Inauma sana huyu mfungwa aliekuwa amefungwa alitoboa ukuta kwa muda wa miaka saba ili atoroke lakini marokeo yake alienda kutokezea chumba cha bwana jela.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Asalaam Aleykum! Wakubwa kwa wadogo poleni sana kwa majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku.Familia na nchi haijengwi kwa stori au kupiga mruzi bali kwakufanya kazi pamoja na kutoa huduma kwa...
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Charles Cosmas NAMNA YA KUJENGA UWEZO WAKO WA CONCENTRATION. Sehemu ya Kwanza Kwanza concentration ni nini ? Ni uwezo wa kuweka fikra au mawazo yako mahali pamoja au kwenye jambo moja kwa muda...
8 Reactions
27 Replies
6K Views
Je, wajua kuwa Wahindi ndio watu waliotawanyika zaidi Duniani ? Je, wajua idadi ya Wahindi au watu wenye asili ya India wanaoishi bara la Ulaya ni zaidi ya wananchi wa Belgium, Norway, Uswisi na...
6 Reactions
67 Replies
9K Views
Kumekuwa na threads nyingi za malalamiko au kusifia huduma za hoteli au baa fulani. Au zingine pia zikiulizia ni hoteli gani nzuri mkoa fulani. Nimeanzisha thread hii kwa nia nzuri tuu ajili ya...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
Huwa nafanya safari za kwenda Mbeya kwa gari mara kwa mara. Na kila niingiapo Mbeya au kutoka Mbeya, nakutana na kero kubwa ya traffic jam kwenye hii barabara ya kuingia Mbeya kuanzia eneo la...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wataalamu wanatumbia watoto huwa wana-act katika intelligent level baada ya ku-reason kulingana na mazingira na anachokielewa. Majibu ya watoto huwa yanafikirisha ama kushangaza. Juzi juzi...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Niliwahi sema ukimtomgoza masikini atakukubalia ila siku ukimnyanyasa anaweza asiwe wako milele Mto Kawe umekuwa ukichotwa na malori zaidi a 80-100 kwa siku Mchanga huu umekuwa nI kero kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi, alisema mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Paulina Mashiku (27) ni mkazi wa ukijiji cha Mbugani wilayani Sengerema. Alisema mtuhumiwa huyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka ya nyuma 2005 kurudi nyuma ilikuwa kawaida kukuta mitaani wanaume/Wanawake wanapigana ngumi kisha wote wanatoana michuzi (damu) kisha maisha yanasonga. Ni tabia mbovu, lkn siku hizi tabia...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Waziri wangu wa Mambo ya Ndani kwanza nakupongeza kwa kuteuliwa. Pili nimefarijika kukuona uko Mbeya kuangalia mnasaidiaje kuzuia ajali kwakweli Mbeya ilituchosha wengine tukahisi wanyakyusa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia wahamiaji haramu 40 raia wa nchini Ethiopia waliokamatwa katika barabara kuu ya Dodoma Arusha katika kijiji cha Kuhi kata ya Bereko wilayani Kondoa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo cha udereva cha Lake Zone Bukoba mkoani Kagera kimeteketea kwa moto ktk mabweni ya wanafunzi. Taarifa zaidi kukujia
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa JF, Baada ya miaka kadhaa ya kupambana na jiji la Dar es Salaam siku za nyuma kidogo nilipata likizo ya mda mfupi, basi nikaamua nikapumnzike nyumbani Mwanza. Basi...
16 Reactions
179 Replies
30K Views
Kwenye simu yangu, nimepata ujumbe toka kwa POLISI-TZ Unasema, Usikubali kutapeliwa mtandaoni au kupitia ujumbe mfupi unaokuomba utume pesa. Hakikisha unatuma pesa kwa mtu unayemfahamu. UJUMBE...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom