Basi la Kampuni ya Tawaqal linalofanya safari zake Dar- Tanga-Mombasa, wakiwa njiani Jana majira ya usiku maeneo ya Mbwewe karibu na Kabuku mkoani Tanga, walisikia kishindo kikubwa juu ya basi...
Habarini wakuu,
Naomba kupatiwa elimu kidogo juu ya hivi vitu viwili kuuliza ni kujifunza
1.Check number kwa mtumishi ina maanisha nini?
2.TSD number nayo ni kitu gani na kwanini tupo nazo?
Kumekucha wakuu,
Naomba kuuliza hivi ni mtandao gani wa kijamii(social network) unaoongoza kwa kutoa habari za uhakika hapa nchini kwetu?
Wengi tuna msemo kuwa JF ndo mwanzo mwisho ila binafsi...
Mguu wako usiingie kwa jirani yako ila kwa kiasi;
Asije akakukinai na kukuchukia.
Ukiyafikiri haya kwa kina, ikiwemo
1. Kuwapigia simu watu muda wa kazi kisha unasema nilikua nakusalimia tu.
2...
Wakuu !
Nina changamoto binafsi. Kila nikipata tu hela akili haitulii kabisa . Maamuzi mapya huja upesi kwa nguvu ya ajabu sana. Kuna vitu nafanya ambavyo sikutegemea kufanya na kuna maeneo...
Kuna tabia imejengeka huku mtaani unakuta mtu hapokei simu yako, hajibu message zako na hata akikuta missed calls zako hajihangaishi kabisa hata ipite wiki nzima. Mbaya zaidi unakuta mwingine...
Jamani naombeni ushauri:-
Mama yangu ni mgonjwa tulipewa Referral kutoka hospital ya mkoa kwenda Muhimbili hospital baada ya mama kusumbuliwa na koo wakati anapomeza kitu kama vile ugali n.k...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kujadiana kuhusu namna bora ya kupata ufumbuzi wa kudumu wa kero ya ulipaji kodi ya mizigo kutoka...
Nilikuwa napitia Report ya Poverty and Human Dev ya 2014 inaonesha Tz bado ni nchi ya kipato cha chini ingawa mikoa3 ya kilimanjaro, Dar na arusha kama ingekuwa nchi tayari imeshaingia kiwango...
Kama kuna wasanii wa vikaragosi|(cartoonists) wanao ni furahisha basi ni pamoja na Masoud wa Kipanya ukiacha yule Mtanzania anayeishi nchini Kenya ndugu yetu Godfrey Mwampembwa almaarufu (GADO)...
Kuna tangazo moja linasifia mpira wa kiume (condom) kwa mtazamo wangu naona kama lipo wazi sana hasa kwa watoto wa kileo . Tangazo lenyewe lina vibwagizo kama vifuatavyo:
Ndani ya gari kimoja...
"Maisha hayana ''shortcut"
Maisha hayana njia ya mkato ni lazima kupambana ili ufikie hitaji lako.
Je kuzaliwa kwenye familia tajiri si ndio kupita njia ya mkato ya maisha?
Kwa mfano wale...
Uwepo wa dini katika jamii ni chanzo cha amani na utulivu kwa sababu dini zinajenga hofu miongoni mwa watu kutokutenda maovu kama ubakaji, wizi, utapeli , kutokulipa kisasi na uasherati ,jiulize...
Ni ukweli usiopingika kuwa raia wa Tanzania ni mchanganyiko wa raia kutoka mabara tofauti; Asia, Ulaya, Amerika na Australia. Bendera ya Taifa kama nembo ya Taifa inapaswa kuwakilisha raia wake...
Hili jambo linafanywa na Paulo Makonda ambaye ni RC wa Dar es Salaam .
Katika orodha yake ya Watumiaji na wauzaji wa Madawa ya kulevya aliyoitoa kwa vyombo vya habari , jina la Ndugu Majizo...
Siku za nyuma kidgo, niliwai kuonesha upotevu mkubwa wa fedha za umma,kutoka benki inayojitambulisha km benk ya wakulima dhidi ya mikopo waliyo itoa pale MKURA scheme!
Niliwambia waz kuwa fedha...
Siku ya Mtoto wa Afrika - 2018
16, Mwezi wa Sita 2017: Shirika la C-Sema kwa kushirikiana na Jamii Forums pamoja na Elimika Wikiendi, PEN Tanzania, Ubongo Kids, Children’s Dignity Forum, Shule...
Ule msemo wa Kizuri kula na wenzio unamaanisha ukiona jambo jema, zuri, wajulishe na wenzio!.
Hii ni kwa wenzetu mliopo ughaibuni, msosi rahisi ni fast food. Wale wa Mcdonalds, Kentucky or...
Hakuna watu wanafiki kama wakisto,lakini unafiki wa wakristo ni unafiki uliojificha.hivyo inahitajika akili ya ziada kuugundua unafiki wao,maana wao hujificha ndani ya maandiko matakatifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.