Wachawi kusafiri kwa kutumia ungo ni jambo la kweli au habari za kusadikika?

fizo talent

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
2,257
3,882
Naam jioni njema

Let me go straight to the point. Hili suala limekuwa likinitatiza sana kwa kipindi kirefu.

Jambo hilo ni uchawi ama ulozi hususani katika idara ya usafiri. Je, ni kweli wachawi (walozi ama wanga) huwa wanasafiri kwa kutumia ungo kutoka sehemu moja hadi nyingine? Mfano unaambiwa mtu katoka Morogoro na ungo na kuja DSM usiku kwa usafiri wa ungo.

Napata mashaka maana nasikia sana hizi stori Iia sijawahi kupata uhakika juu ya hili wala kushuhudia, Natumai humu nitapata kujua kwa kuwa kuna wajuzi wa mambo wa kutosha.

Wenye utambuzi natumai mtanipa mwangaza.
 
Back
Top Bottom