Swahili bollywood iko vizuri.Kama sio.star gold, zee TV. Swahili Bollywood.
Ningebadilisha decoder.
Tatizo wahindi wameniteka
Aiseee...Kama sio.star gold, zee TV. Swahili Bollywood.
Ningebadilisha decoder.
Tatizo wahindi wameniteka
mbona kwangu sio skratch??Nimetuma Startimes decoder ni scratch mwanzo mwisho,halafu unaenda ofisini kwao wanajibu kirahisi tu kuwa mafundi wao wanatengeneza bila kusema lini tatizo litakuwa limeisha.
Yaani wakati msingi ni no service,sasa Star times yanini kwa nyakati hizi za HD??
Nimeacha kutumia Star times almost mwezi sasa baada ya kuona No signal na mimi nataka kuangalia kombe la dunia.Nimetuma Startimes decoder ni scratch mwanzo mwisho,halafu unaenda ofisini kwao wanajibu kirahisi tu kuwa mafundi wao wanatengeneza bila kusema lini tatizo litakuwa limeisha.
Yaani wakati mwingi ni no service,sasa Star times yanini kwa nyakati hizi za HD??
Hapana ipo channel inaitwa ST swahili.star bollywood africa au
Hili tatizo la kuscratch naona ni kwako mkuu. Mi natumia vizuri tu hata hali ya hewa iwe vipi.Nimetuma Startimes decoder ni scratch mwanzo mwisho,halafu unaenda ofisini kwao wanajibu kirahisi tu kuwa mafundi wao wanatengeneza bila kusema lini tatizo litakuwa limeisha.
Yaani wakati mwingi ni no service,sasa Star times yanini kwa nyakati hizi za HD??
Umeongea vizuri mkuu. Startimes sio digital bado wapo analogyNimetuma Startimes decoder ni scratch mwanzo mwisho,halafu unaenda ofisini kwao wanajibu kirahisi tu kuwa mafundi wao wanatengeneza bila kusema lini tatizo litakuwa limeisha.
Yaani wakati mwingi ni no service,sasa Star times yanini kwa nyakati hizi za HD??