Mkono wa kushoto una laana? Ukimpa mtu kitu au kumsalimia kwa mkono wa kushoto ni kosa, je mkono wa kushoto una nini?

Richard R Monyo

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
242
265
Kuna siri gani iliyojificha juu ya mkono huu wa kushoto, ukipokea kitu au kumpa mtu kitu chochote kwa mkono wa kushoto inaonekana ni kukosa nidham, hata kusalimiana huhitaji mkono wa kulia, Je mkono wa kushoto una siri gani mbaya iliyojificha?
 
ka utamaduni tu

wale wanaoshika kijiko chenye mapengo kwa mkono wa kushoto na kisu mkono wa kulia afu wanakata kipande labda tuseme cha nyama mezani na kula tuwaiteje?

mkono wa kushoto unaodharaulika huohuo ndio unaoshika chombo chenye mkate kanisani huku wa kulia ukilisha washiliki n.k
 
Imani, desturi na mapokeo tu.

Kama ni hivyo wale wanaotumia mkono wa kushoto wangeteketezwa wsngali na umri mdogo.

Watu wengi wanatumia mkono wa kulia mbona hizo laana, balaa na mikosi zipo?
 
Haijaandikwa kwenye maandiko hivyo puuza hizo ni imani za kijinga
 
Halaf una ubinafsi, waweza uukate kucha lakn wenyewe hautak kumkata mwenzake au hata umkate nyama za vidole
 
1. Hapana
2. Sio kosa
3. Hauna kitu cha ziada au kilichopungua.

Nb;-
Hayo uliyoandika yanatokana na Imani au desturi ya watu fulani.
 
Hata punyeto mkono wa kushoto ndo unatumika.

Kuingiza vidole sehemu sehemu mkono wa kushoto ndo unatumika.
 
Kwakweli hii ni aina nyengine ya unyanyapaa.Hili nimelishuhudia sana.Kuna mtu ukimsalimia kwa Mkono wa kushoto kama ni mwenye sifa na ww mtoto,Hilo kofi atakupiga Lazima mkojo udondoke.Au mpe hela kwa mkono huo,Inageuka kesi ya Jinai
 
Back
Top Bottom