Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,742
- 3,319
Habari wadau wa JF
Najitokeza kuomba msaada wa clearance ya package yangu iliyofika Dsm JKNIA tangu tar 12/05/2018.Muuzaji alisafirisha kupitia hawa jamaa wa fedex na Nimeshawasiliana nao na nikawatumia docs zote zinazotakiwa kufanya clearance lakini tangu wakati huo nimekua nikipigwa calendar hadi dakika hii naandika hii thread na huku mwanza hawana ofisi zao.
Nilijaribu kumtafuta mdau mmoja humu anaefanya hizo mambo lakini alinambia kwamba hawezi nisaidia kwa hii situation,
Nimeona nije kwenu wana jf kama kuna mtu atakua anaweza nipa msaada nipate package yangu iliokwama huko dsm kwani nilimuagizia mtu mpka leo uhusiano wetu umezorota sababu ya hii issue
Nawasilisha[emoji24] [emoji24] [emoji24]