Baada ya agizo la mkubwa kwa Tanroad hii ndio hali ya kariakoo kwa sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,653
218,143
Hakuna haja ya maneno mengi , Napandisha ushahidi sasa hivi , ni vurugu mechi hakuna hata pa kupita kwa waenda kwa miguu , imenusurika barabara ya mwendokasi tu !

Mitaro nayo yaanza kufurika na maji kutapakaa barabarani , Kipindupindu kuripuka muda wowote .

20180717_154255.jpg
 
Hakuna haja ya maneno mengi , Napandisha ushahidi sasa hivi , ni vurugu mechi hakuna hata pa kupita kwa waenda kwa miguu , imenusurika barabara ya mwendokasi tu !
Ni nchi yetu sote mimi nataka nikapaki kigari changu pale magogoni niwe nabeba wageni wa ikulu nipige zangu noti
 
Hakuna haja ya maneno mengi , Napandisha ushahidi sasa hivi , ni vurugu mechi hakuna hata pa kupita kwa waenda kwa miguu , imenusurika barabara ya mwendokasi tu !
Lakini pamoja na kuwaruhusu wafanye biashara, pia aliwataadharisha kwamba WANANCH wasiionee TANROAD na pia TANROAD isiwaonee WANANCHI.
Mkulu alisema wazi kwamba wafanye biashara zao kando ya barabara, na sio waweke biashara zao barabarani.
Alafu ile ilikua ni tamko lililo tilewa kule mbezi kwasababu bado mbezi hawaja tengewa eneo la biashara.
 
Hii nchi bana. Mara usafi mara mtu asiwabugdhi, hivi hawa viongozi wanajua maana ya usafi???? tufuate lipi??
1. mkuu wa mkoa anataka usafi kwa jiji la Dar
2. Rais anasema msiwasumbue machinga

Hivi usafi ni nini?? nani atainusuru hii nchi mbona confusions tupu???
 
tushazoea hayo pia pitia kituo cha gerezani, bila kusahau machinga complex tunafugia kuku now
 
Moderator heshima kuu kwako , nitashukuru kama utanipandishia hizo picha ili kuweka ushahidi mwanana
 
Typical Shithole country..... mambo ya hovyo hovyo tu. Sheria ni Rais, na Rais ndio Sheria
 
Back
Top Bottom