Mama Salma Kikwete afiwa na Baba yake mzazi

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,314
Tanzia

Mke wa rais wa zamani wa Tanzania Kikwete , Salma Kikwete amefiwa na baba yake mzazi, mzee Rashid Mkwachu hii.

Kwa mujibu wa mbunge wa Chalinze, Ridhwani Kikwete mazishi yatafanyika kesho saa 10 jioni kwenye makaburi ya Kisutu.

Instagram%20media%20-%20Bla0IGigzmO.jpg
 
Pole sana Mh Rais mstaafu, Poleni sana Mwalim wangu oysterbay
 
Kichwa kingesomeka, Salma Kikwete afiwa na baba yake mzazi ingependeza zaidi...
Pole nyingi ziende kwa wafiwa na wote walioguswa na msiba huu.
 
Back
Top Bottom