Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,587
- 43,010
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka utamaduni wa wenye mamlaka kukiuka sheria za nchi kwa maana ya katiba kwa makusudi wakati mwingine kwa kisingizio cha maamuzi kutoka juu bila kupataja huko juu ni wapi
Sasa tumia Uzi huu kuweka jina na nafasi ya yeyote anayeonea watu bila kufwata sheria za nchi hii ni muhimu ili siku akitoka kwenye ofisi ya uma ashitakiwe ili awataje hao waliomtuma
Taja jina LA
RPC
ocd
mkuu wa wilaya
mkuu wa mkoa
Mbunge
Waziri
Na yeyote aliyepewa mamlaka ya umma halafu anayatumia vibaya kwa kuonea watu
Hili ni muhimu ili tutunze kumbukumbu kama si kizazi hiki basi kizazi kijacho kione kwamba tuliipigania haki
Muhimu usimuonee MTU humu thibitisha pasi shaka kwamba kitendo au matendo yake yaliumiza watu bila kufwata utaratibu wa kisheria nchi hii ni yetu tumewapa dhamana kwa muda Fulani muda wenu ukiisha tutawavika taji laweza kuwa taji LA heshima au LA miba kutegemeana na unayotutenda Leo.
Tiririka mwana jf