Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Luka 5:5 Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Luka 5:6 Basi, walipofanya hivyo walipata samaki...
2 Reactions
0 Replies
123 Views
1 Wakorintho 12:4 Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni yeye yule. Roho mtakatifu anafanya kazi tofauti kulingana na mapenzi ya Mungu katika ulimwengu huu. Kama ilivyo Mungu alivyoumba...
5 Reactions
11 Replies
301 Views
Mambo haya ukifanya basi watu wataanza kukuheshimu katika maisha yako. 1.Ukimya, Ukimya sio kwamba unaonekana dhaifu hapana, sio kila jambo linalotokea katika maisha yako linaitaji uongee...
5 Reactions
21 Replies
616 Views
Mikoba yenu imejaa matishu, chooni tishu, kula tishu ,haja ndogo tishu Cha kwanza tukimaliza hamwedi kuipiga maji bafuni, unajifuta tu na litishu Utamaduni wa kutumia tishu kujiswafi hasa Kwa...
17 Reactions
47 Replies
924 Views
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema serikali imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango...
8 Reactions
49 Replies
1K Views
Wamiliki wa makampuni ya ulinzi binafsi wanapaswa kuwasilisha kilio chao kwa njia ya kitaalamu, kisheria na yenye hoja nzito kuhusu umuhimu wa kutungwa kwa sheria maalum ya kusimamia sekta hiyo...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
kama wewe ni mfanya biashara + ( machinga mama lishe etc ). boda boda, mtumishi wa serikali au seka binafsi, mchezaji au mtu wa kutumia sanaa na kipaji chako. je mbali na hela kuna kipi umekipata...
2 Reactions
14 Replies
284 Views
Mtu mmoja anipe sababu, kwanini watu hawapati passport? Pia soma - KERO - Uhamiaji Mbeya wananizungusha kupata Passport, kila nikienda wanasema hakuna Mtandao
6 Reactions
34 Replies
612 Views
Yas matrako yenu nimenunua vocha za 5000 niunge bando ile namaliza kuingiza niunge bando naambiwa sina salio la kutosha kuuliza salio wanasema nina 4000 Nikaanza kurudia vocha moja moja lakini...
2 Reactions
13 Replies
223 Views
Nimejalibu kuwaza hao washua wetu apa Tanzania hawawezi kujichanga wakajenga kiwanda kama icho anachomiliki na kujenga kingine uyo bwana dangote?
3 Reactions
15 Replies
295 Views
Uyu wa sasa maigizo yake yote yanagoma tena kwa ushaidi wa macho yaani akuna ata igizo moja lililopendwa na kusifiwa ila yule wakipindi cha mwenda zake maigizo yake yalipendwa ma wengi ata mm...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Unakumbuka nini kuhusu huyu mtu
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Mpishi maarufu Dennis Ombachi kutoka Kenya amemkaribisha Rais Emmanuel Macron katika kipindi chake maarufu cha mapishi, wakichanganya utamaduni, vyakula na diplomasia kwa mtindo halisi wa Kenya...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Privacy ni muhimu sana kwenye maisha. #privacy is key.
8 Reactions
20 Replies
333 Views
Habari zenu huku, Nianze kwa kuandika, siyo kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu. Miaka takribani 16 iliyopita nilijiunga na jamii forum, kipindi hicho sikufahamu kabisa juu ya mitandao ya...
22 Reactions
32 Replies
756 Views
SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke...
5 Reactions
82 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri, Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua...
10 Reactions
40 Replies
695 Views
MAC Pharmacy ni nani? Kwa hapa Dar es salaam Kila Kona utakutana na hizi pharmacy zimeandikwa MAC Pharmacy, ana cheo chochote MSD?
3 Reactions
13 Replies
374 Views
Hawa vijana wamejawa na matusi, sasa imepelekea anabelle kubadirisha jina la kuomba kufanyiwa mapenzi. Hii yote ni kutokana na mentallity ya matusi waliyonayo. Mimi naona ni ishu ya afya ya...
5 Reactions
4 Replies
164 Views
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa...
9 Reactions
32 Replies
864 Views
Back
Top Bottom