Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Moja kati ya swali gumu ninalojiuliza mara zote huwa ni MWANANGU ANAWEZA KUISHI NA WATU WENGINE IKIWA SIPO!? Moja ya msingi mgumu ni MALEZI hasa kwenye jamii ya sasa…! Ni kwa sababu wazazi...
4 Reactions
2 Replies
167 Views
Nini haswa kimeabadirika? Matongo yanazidi kuwa mafupi au mashimo ndio yanazidi kuwa marefu
1 Reactions
4 Replies
113 Views
Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation) Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku...
3 Reactions
1 Replies
299 Views
Anonymous
Maafisa Ustawi Kila siku wanatishiwa kuhamishwa na Katibu wa Idara ya Afya bila sababu za kueleweka. Sijui yeye ana hayo Mamlaka ya kumhamisha Mtumishi maana hata kwenye Mfumo wa PEPMIS...
3 Reactions
3 Replies
167 Views
Anonymous
DAWASA Kigamboni ni kero wanawaongezea bili wananchi, yaani unakuta mtu ana familia tu ya watu 3 na wote hawashindi nyumbani wanahamka kwenda mihangaiko nyumban mpaka jioni lakini bili ya mwezi...
1 Reactions
1 Replies
73 Views
Mungu anapotaka kukuinua anakupitisha hatua 3 Maandalizi(preparation) Hiki ni kipindi ambacho Mungu anakuwa kama yupo kimya kwenye maisha yako, katika kipindi hiki unaweza kupitia hali ngumu...
4 Reactions
2 Replies
265 Views
Kwa nini Watanzania wanapenda kulazimishana kuongea na watu Unakuta mtu unapenda kukaa peke yako kimya bila kusumbua watu, unashangaa wanaanza kukuuliza mbona huongei na watu, na kuanza...
7 Reactions
31 Replies
539 Views
Mpaka akue afundishwe ndipo amjue why? Si kaumbwa na Huyo mungu shida ni nini? Mpaka afundishwe uwepo wake
2 Reactions
26 Replies
371 Views
Kwasababu zangu binafsi ambazo sitapenda niziseme (but very reasonable) hua siui kiumbe yoyote aliye hai tofauti na mbu. Kiukweli siwapendi na nawaogopa sana nyoka ila hata wao imekua ikiniwea...
53 Reactions
432 Replies
27K Views
Biashara ni jambo la kiroho(spiritual) Binadamu ni roho ambayo ipo ndani ya mwili na nafsi.Roho ndio sehemu ambayo inaunganishwa na Mungu. Maisha ya nje yaani kwenye mwili yana anzia ndani, ili...
7 Reactions
4 Replies
419 Views
MAADUI WA WAFUASI WA AHLUL BAIYT WANAZIDI KUJIDHIHIRISHA KWA KUKAA UCHI. Umoja wa kiarabu washenzi wa kiwahabi Saudia, Qatar, Bahrain, UAE na Kuwait wenye asili ya Kiyahudi wameanza kuwafukuza...
7 Reactions
22 Replies
434 Views
Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani. Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu...
1 Reactions
13 Replies
694 Views
Anonymous
Sisi wananchi wa Mkoani IRINGA, Wilaya ya Kilolo tunapitia magumu kwenye adha ya usafiri ususani usafiri wa bajaji kutoka Iringa Mjini mpaka Wilayani Kilolo ni Kilometa 33 ila gharama ya usafiri...
1 Reactions
2 Replies
122 Views
Anonymous
Ni week ya pili sasa kwa Mkoa wa Mwanza na sijui mikoa mingine, Mtandao wa Vodacom umekuwa kero, ukituma SMS hasa nyakati za jioni kuanzia saa 12 haziendi wala simu hazitoki. Nimetoa taarifa...
2 Reactions
2 Replies
106 Views
Anonymous
Kitengo Kitengo cha Ukusanyaji wa Mapato Manispaa ya Ubungo kinanyanyasa wafanyabiashara, kinalazimisha wanafanyabisha kufunga biashara na kuondoka nao jambo ambalo limeshakatazwa na Serikali...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Wakuu natarajia kuwa na Safari almost TZ yote mikoani na wilayani! sasa based on experience je ni mtandao upo ipi miwili ambayo itani offer best coverage during my trip to Tanzania and probably...
3 Reactions
9 Replies
186 Views
Mwanzoni nilidhani Dangote ni mtu safi ila baada ya kufuatilia nimegundua ni mtu mbinafsi anayependa apate peke yake. Hataki ushindani. Huko kwao Nigeria analaumiwa kushika biashara nzima ya...
0 Reactions
11 Replies
290 Views
Back
Top Bottom