Aina ya vipawa kutoka kwa roho mtakatifu

Aina ya vipawa kutoka kwa roho mtakatifu

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
992
1 Wakorintho 12:4
Basi pana tofauti za karama; bali Roho ni
yeye yule.

Roho mtakatifu anafanya kazi tofauti kulingana na mapenzi ya Mungu katika ulimwengu huu.

Kama ilivyo Mungu alivyoumba mwili wa binadamu una viungo tofauti vinavyofanya kazi tofauti ndani ya mwili mmoja ndivyo ata roho mtakatifu anavyofanya kazi.

roho mtakatifu anafanya kazi tofauti lakini kwa lengo moja tu kueleza utukufu wa Mungu,

Ni kama mwili una viungo tofauti vina fanya kazi tofauti lakini lengo ni moja kufanya mwili uendelee kuishi.

Roho mtakatifu anaweza kumjaza mtu hekima, tuona sulemani alikuwa na hekima ya Mungu na kufanya kuwa tajiri

Roho mtakatifu anaweza mjaza mtu maarifa, tunaona kwa Daniel kuweza kutafsiri ndoto

Roho mtakatifu anaweza mjaza mtu imani, tuona kwa ibrahimu kuwa na imani adi kutaka kumtoa mwanae isaka sadaka

Roho mtakatifu anaweza mjaza mtu unabii tunaona kwa yeremeah, isaya walikuwa na uwezo wa kupata maono kupitia ndoto

Roho mtakatifu anaweza mjaza mtu uponyaji, kama bwana Yesu, petro, yohana, paulo wote walijazwa roho ya uponyaji.

Roho mtakatifu anaweza mjaza mtu karama ya uongozi kama mfalme daudi, Yusufu walikuwa na karama ya uongozi.

Roho mtakatifu anapoingia kwa mtu anamsaidia kufanya mambo makubwa tofauti na uwezo wake hili kuelezea utukufu wa Mungu.
 
Roho mtakatifu anapoingia kwa mtu anamsaidia kufanya mambo makubwa tofauti na uwezo wake hili kuelezea utukufu wa Mungu.✍🏿
 
NARUDIA TENA KUSEMA ILE CHANJO ITAKAYOKUJA IPO KARIBU CHANJO YA LAZIMA KWA WATU WOTE IPO KARIBU SANA KUJA...

Hiyo chanjo ni chapa CHAPA ...

MWANA WA MUNGU USICHANJE HIYO CHANJO.
Kama huamini unabii huu ,kaa vizuri na Roho mtakatifu...muulize Mungu wako..akufunulie akusemeshe hata katika ndoto...

USICHANJE HIYO CHANJO ITAKAYOKUJA UTAKUWA UMEPOKEA CHAPA...

zipo njia nyingi za kupokea chapa hiyo chanjo ni mojawapo.
japo zipo njia nyingine pia
 
Gal 5:19-21
Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya,
1)uasherati
2)uchafu,
3)ufisadi,
4)ibada ya sanamu,
5)uchawi,
6)uadui,
7)ugomvi,
8)wivu,
9) hasira,
10)fitina,
11)faraka,
12)uzushi,
13)husuda,
14)ulevi,
15)ulafi,

na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.

Kor 6:9-11
Au hamjui ya kuwa
1)wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu?

Msidanganyike;
2) waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu,
3) wala waabudu sanamu,
4) wala wazinzi,
5)wala wafiraji,
6)wala walawiti,
7)wala wevi,
8)wala watamanio,
9)wala walevi,
10) wala watukanaji,
11) wala wanyang’anyi.

Na baadhi yenu mlikuwa watu
wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

Kol 3:5
Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi,
1)uasherati,
2)uchafu,
3)tamaa mbaya,
4)mawazo mabaya,
5)na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu

Ufu 21:8
1)Bali waoga,
2)na wasioamini,
3)na wachukizao,
4)na wauaji,
5)na wazinzi,
6)na wachawi,
7) na hao waabuduo sanamu,
8)na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo
moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.**
 
Back
Top Bottom