Wanawake vijana wengi wa bongo wanaokuwa wakiachika katika mapenzi na wanaobaki single mothers wamezoea sana kauli za kulalamika kusema walidanganywa au walitapeliwa na wanaume walioingia nao...
Wakuu
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu kuingia kwenye usafiri wa umma nyakati za jioni wakiwa wanatoka mazoezini bila kuoga, wananuka jasho na kwa kweli huwa wanakwaza sana abiria wengine...
Raia mzungu Muingereza alielowea Tanzania na wakati flani alikuwa balozi wetu wa kujitolea anayezungumza kiiswahili Fasaha Bongo Zozo amshtaki Mtanzania polisi uingereza kwa kumtukana na kumtishia...
Sijawahi kuelewea maonyesho ya silaha za kijeshi yanayofanywa na majeshi katika nchi za Africa.
Unafanyaje maonyesho ya silaha ambazo huzizalishi hazitengenezwi nchini kwako!
Wanaotengeneza hizo...
Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili.
Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa.
Mauaji ya...
Katika pitapita yangu mitaani nimekutana na malalamiko ya wananchi kuwa sasa hivi units za umeme wa luku zinatembea mithili ya internet bundles za Yas!
Wananchi wengi wanadai kuwa matumizi ni...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ameishauri serikali kubadilisha mwelekeo wa kibajeti katika Sekta ya Afya kwa kuwekeza fedha nyingi zaidi kwenye tiba za kinga (preventative medicine)...
Nilikuwa naangalia picha za nyuma za huyu mzee wetu Joseph Sinde Warioba mwenye busara, huruma na upendo alikuwa mwembamba sana.
Na huu wembamba wake ameumaintain tangu udogoni na umemsaidia hadi...
Pongezi sana ndugu Ngassa Benard Mahangila kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari katika halmashauri ya mji wa bunda kwa kuchaguliwa kuwa mfanyakazi hodari ndani ya halmashauri. Nafikiri pongezi...
TAARIFA KWA UMMA
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa Jamii Forums tarehe 12/5/2026 yenye kichwa cha habari...
Kiu ya Maisha
Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi...
Tuwe wa kweli mazingira yetu ya bongo pamoja na kuwa na technology zinazoweza kuact kama catalyst ya maendeleo yetu ni ngumu sana kwa sisi kufanikiwa.
Nime realize wabongo wengi hujifanya wajuaji...
Mimi mkazi wa Tabora. Naomba kuwasilisha taarifa kuhusu mfumo unaotumia ahadi za ajira kuwavutia vijana kutoka maeneo mbalimbali nchini kwenda Mwanza kwa maelezo ambayo hayatoi ukweli kamili wa...
Dar es Salaam, Tanzania — Women leaders, professionals and changemakers have been urged to embrace continuous learning and digital skills development in order to remain competitive in today’s...
WAZIRI MCHENGERWA: MUHIMBILI MPYA SIYO MRADI WA AFYA TU, NI UWEKEZAJI WA KIMKAKATI
Serikali imeeleza kuwa kuijenga upya Hospitali ya Taifa Muhimbili si mradi wa afya pekee bali ni uwekezaji wa...
Sina mengi ya kusema ika kwa sasa jiji la Dodoma linakua kwa spidi kubwa sana.
Ndani ya miaka kumi ijayo Dodoma itakuwa Las Vegas of Africa. Na hali yake ya kuwa nusu jangwa, jua linawaka vizuri...
Nimepita eneo la Kawe, mkabala na nyumba mpya za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pembeni mwa barabara inayoelekea Malingo, karibu na msikiti, ambapo kulikuwa na uchafu uliorundikwa kwa takribani...
Wataalamu wa mahusiano na saikolojia wamekuwa wakieleza kwamba mwanamke hupata mafanikio ya mapema kuliko mwanaume, na kwamba dunia huwa rahisi zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Je, uhalisia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.