Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,933
- 5,524
Yas matrako yenu nimenunua vocha za 5000 niunge bando ile namaliza kuingiza niunge bando naambiwa sina salio la kutosha kuuliza salio wanasema nina 4000
Nikaanza kurudia vocha moja moja lakini wapi nimewapigia wanaongea ungese mwingi mwingi wanadhani hela tunaziokota
Naomba mwanasheria mzuri nifungue kesi ya kuyotezewa salio na muda wangu inbox