chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,034
- 3,076
Katika pitapita zangu jana kuna mtu nilimuona nikasema mbona yule ni kama mimi, alikua yupo kwa mbali ilibidi nimsogelee ili kumuona vizuri,
Lakini nilivomsogelea nikamkuta sijamfananisha alikua mimi kabisa nimekaa pale, nguo alizovaa zinafanana na zangu kasoro viatu ndo tofauti,
Ikabidi nimsalimie pia sauti yake ilikua ni kama ya kwangu kabisa nikamuuliza na jina ni la kwangu,
Baada ya kumuuliza mambo mengi nikagundua huyu ni mimi lakini nilishapata hofu inakuaje nijikute tena huku ?
Nikajiacha pale nikarudi home kwa sababu nilikua nawaza sana, nahisi kama wewe ungejikuta sehemu ungeota wiki nzima lakini mimi sikuota na baadae nilichukulia kawaida leo nikarudi pale ila sijajikuta.
Nitakua narudi pale mara kwa mara kuona kama nitajikuta tena sehemu hiyo