Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa vijana wamejawa na matusi, sasa imepelekea anabelle kubadirisha jina la kuomba kufanyiwa mapenzi. Hii yote ni kutokana na mentallity ya matusi waliyonayo. Mimi naona ni ishu ya afya ya...
5 Reactions
4 Replies
164 Views
Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu Huyo mnyama wa ajabu mwenye kichwa cha mwanamke katika picha hizo anadaiwa na Waislam kuwa ni mnyama mtukufu wa mbinguni, anaitwa Burak. Picha zake zimepambwa...
9 Reactions
32 Replies
864 Views
Anonymous (e8a1)
Unakosea kuziita pombe, huo ni uchafu. Pombe ni chakula. Nikiona mtu anakunywa hizo namwona kama mjinga mjinga. Weka na K Vant pia hapo
16 Reactions
69 Replies
1K Views
Kudadadeki nawaomba Wamarekani, Waisraeli na Wairani washikilie hapo hapo hadi tuheshimiane hasa Jijini Dar es Salaam. Si mlikuwa mkiwacheka Watu wa kawaida wakipanda Daladala huku mkiwaona...
3 Reactions
8 Replies
785 Views
Hbr Wakuu, nipo Safari naelekea Shinyanga, naomba kujulishwa Guest nzuri yenye huduma nzuri za Malazi na Chakula plus Vinywaji.
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Nasubiria tu mnipe Ratiba yenu kama mtakuwa Free hata kwa 2 hours niwafuate mlipo tunywe na tuzungumze mengi.
2 Reactions
7 Replies
148 Views
Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji. Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua...
4 Reactions
60 Replies
663 Views
Wakati nawaambia kuhusu watu kuwa ni akina annabelle mkasema Chizi Maarifa wewe ni mkorofi unawachukia tu rainbow kiasi kila mtu unamwona ni papaya. Sasa someni. Ame advance kwa sasa ameamua...
5 Reactions
17 Replies
291 Views
Vodacom Tanzania PLC has announced strong financial results for the year ended March 2026, recording significant growth in revenue and profit driven by strategic investments, customer expansion...
0 Reactions
4 Replies
306 Views
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha kiasi cha Shilingi trilioni 1.8 kwa ajili ya Matumizi ya Wizara hiyo katika mwaka wa fedha 2026/27...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Hivi kuwabandua vilivyo hawa Mabinti wa 2000 ni Kosa la Jinai siku hizi nchini Tanzania? Mzee Malundo umetuangusha sana tuliokuwa tukikuunga mkono kwa Kuomba Radhi. Mimi hakuna Binti wa 2000...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Na kwa wale Majuha (akiwemo Juha wenu Mkuu niliyemshauri na kumuonya Wiki iliyopita) ni kwamba alichokifanya Rais wa Kenya Ruto ni kuja Kutusanifu Watanzania kutokana na Ubishi na Upumbavu wetu...
4 Reactions
14 Replies
264 Views
  • Redirect
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga. CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Hii ni shule ya msingi iliyopo Kijiji cha Idete, Kata ya Idete Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa. Mazingira ya shule ni hatarishi kwa watoto wetu kama inavyoonekana katika picha. Tafadhali uongozi...
0 Reactions
11 Replies
362 Views
Waku Kuna Hawa punda wanaosomba mchanga,mawe ama tofari huku kanda ya ziwe kwenye gutama ama tela jina maarufu asee Hawa punda wanateseka sana. Wanapigwa mwanzo mwisho wa safari bila huruma...
4 Reactions
22 Replies
395 Views
Kwa hapa bongo vitu vingi vilivyokuja kama used au mitumba huwa imara sana na uwezo mkubwa, angalia simu used, tv,radio, kompyuta, magari,nguo hata vifaa vya ndani majumbani huwa na ubora ingawaje...
3 Reactions
16 Replies
344 Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wanzungumza na vyombo vya habari leo Mei 11, 2026, kuhusu tathimini yao kuhusu taarifa ya ripoti ya Tume ya Jaji Chande...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
UFAFANUZI KUHUSU WATUMISHI WA MKATABA KUTOTENDEWA HAKI Dar es Salaam, 10 Mei 2026 Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
https://www.youtube.com/watch?v=OYri4wkYHdc
1 Reactions
3 Replies
136 Views
mwingine amewasha data, mwingine ame connect Wi-Fi na wengine wakawasha na vpn juu kuingia kwenye mitandao mbalimbali. Je, lengo hasa la kuingia online lilikua ni lipi au ulikua unakuja kugungua...
6 Reactions
49 Replies
482 Views
Back
Top Bottom