Ilibidi tuende kusuruhisha baada ya mke wake kulalamika jina lake kutohusishwa kwenye wosia kama mtu anaye takiwa kurithishwa mali.
Ndugu yangu akaanza kueleza kama ifuatavyo:
"Mme na mke sio...
Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87...
Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan.
Je, utaratibu ukoje?
By. Boss la...
Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida.
Kwa kifupi...
Nina miaka 45, miaka 8 iliyopita nilikuwa mfanyabiashara mkubwa hapo Kariakoo. Nilikuwa nina Duka la kuuza jumla vifaa vya magari (spares) kutoka China na Dubai.. mzunguko wangu wa biashara...
Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko...
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu.
Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu...
Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa.
Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imewahukumu aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamusta, Daniel Gidambisye Murayda, pamoja na...
Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu...
Nadhani pipiki ndio chombo kinachoongoza kuwauwa watu hasa vijana na tayar ukichunguza vizuri 90% ya familia zetu hapa Tanzania zimeshawai poteza mtu wa kalibu kutokana na bodaboda-pikipiki
WOSIA WA MZEE RAMADHANI MLOWE
1. UTAMBULISHO WA MWENYE WOSIA
Mimi, Mzee Hamisi Ramadhani Mlowe, mzaliwa wa Kijiji cha Itundu, Wilaya ya Lungwa, Mkoa wa Songwe, tarehe 10 Machi 1955, naishi...
Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali...
NAtaka kuhamisha makazi na harakati zangu za maisha kiuchumi na kijamii naombeni muongozo.
Katika hali ya maisha,upatikanaji wa chakula,makazi,fursa za kiuchumi.
Kwasasa nipo Singida ila nataka...
Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (kushoto) akimkabidhi zawadi ya ukumbusho Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL) Bi. Michelle Kilpin (kulia) mara baada ya hafla ya...
Sasa langu linahusu makampuni ya maji, nitayataja kwa majina hapa, lengo wafikishiwe wadau nao wachunguze. Hili sijui ni kwa sisi tu wenye pua kali, ila Brand za maji za Uhai, Afya, Hill na GSM...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawajulisha wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni kuwa kutakuwa na matengenezo kinga katika Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Mikocheni ili kuimarisha hali ya...
Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa
Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao
Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu...
Washirika wa Nyerere Cycling Tour, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Zuweina Farah (wa nne kulia), ambaye aliwakilisha Vodacom Tanzania PLC kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.