Viongozi wa Dini, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11...
Ukiwauliza watu kumi hapa Tanzania kama wanatumia jamii forums huenda sita au saba wakasema hawaitumii, wawili au watatu wakasema hata hawajawahi kuisikia. Unaweza kusema nimekuza sana mambo...
Ulikuwa wapi wakati Marekani iliposhambuliwa na magaidi katika tukio la September 11 mwaka 2001?
Leo wamarekani wanatimiza miaka 25 (umri wa mtu mzima) baada ya mkasa wa kushambuliwa majengo ya...
Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja...
Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia...
Mimi ni mkazi wa Mvomero, na ninapinga utaratibu wa kodi ya jengo inayokatwa kupitia TANESCO. Nyumba yangu yenye vyumba vitatu inakatwa Sh 7,500, kiasi ambacho ni sawa na kinachotozwa kwa nyumba...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kwa Mchawa, Songea Mjini. Tumekuwa tukipata maji machafu kutoka SUWASA kwa zaidi ya miezi kadhaa sasa. Maji hayo hutoka yakiwa na tope na uchafu kiasi kwamba ni machafu...
Kenya imesaini makubaliano ya kuagiza tani 540,000 za mahindi kutoka Zambia ili kuongeza upatikanaji wa nafaka hiyo baada ya uzalishaji wa mahindi meupe nchini Kenya kushuka hadi kiwango cha chini...
Ukifikisha point 15 unafungiwa (suspended) leseni yako kwa miezi sita, baada ya hapo utaomba tena. Ukifungiwa mara ya pili, ukiomba tena hutapewa daraja lilelile utapewa lile la chini kabisa kama...
Kama lengo lilikuwa kututisha basi lengo hilo limefeli, kwa taarifa yenu ndiyo kwanzaa kumekucha.
Kama lengo lilikuwa kuficha uovu wenu, hilo pia limefeli mchana kweupe na mtawajibika kwa kila...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda, amesema Serikali inatarajia kuongeza wanafunzi wengine 150 watakaonufaika na programu ya Samia Scholarship...
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo.
Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day...
Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani...
Mzozo wa barabarani umejitokeza baada ya dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (Toyo) kugonga gari la kifahari, kisha kuomba apelekwe kituo cha polisi kuliko kutakiwa kulipa gharama za matengenezo...
Mimi ni mkazi wa Mji Mdogo wa Ikwiriri uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Mji wa Ikwiriri unakua kwa kasi na tayari una idadi kubwa ya wakazi, lakini cha kushangaza...
Umoja wa Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani nchini umemtumia salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Marehemu Hafidh Ameir...
Hatujui changamoto ni nini, lakini umeme umekuwa ukikatwa mara kwa mara bila sababu za msingi, kana kwamba sisi wananchi hatuchangii gharama za huduma hii.
Karne hii, baada ya kuwepo kwa bwawa la...
Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimepokea taarifa kuhusu tukio lililotokea tarehe 8 September 2026 katika eneo la Lugalako, Kinondoni, Dar es Salaam, linalomhusisha Dkt. Conrad Agonza Kahyoza...
Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini.
Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.