Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu.. Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye...
5 Reactions
78 Replies
549 Views
Hili taifa ni lenu sasa. Mmesemwa sana, ni wakati wenu kuchukua heshima yenu kwa nguvu.
10 Reactions
16 Replies
165 Views
Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira. Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Sisi wapori Pori huku tunapambana na Jembe la mkono, tumepata mauzo ya mazao yetu. Sasa nataka kurelax kidogo na kutoa ushamba, nasikia huko Dar kuna vyumba vya kufanyiwa maseji ya mwili mzima...
22 Reactions
189 Replies
3K Views
Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais. Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar...
5 Reactions
6 Replies
232 Views
  • Featured
Wachimbaji madini nchini wamenunua picha moja kwa ajili ya kumpa zawadi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Samia Suluhu Hassan kwa thamani ya Shilingi Bilioni 1.8. Wachimbaji hao wamenunua...
5 Reactions
41 Replies
988 Views
Madereva Dalala jijini Mbeya wameanza mgomo wao ambao wamedai utadumu kwa muda wa wiki moja kutokana na kuzitaka Bajaji kuacha kutumia ruti ambazo zinatumika na dalala.hali hii imekuwa kero kwa...
0 Reactions
3 Replies
71 Views
1. Katika Vipaza Sauti 2. Katika AC na inayokulenga Wewe hasa 3. Katika Kalamu unayopewa au unayoikuta 4. Katika Camera Maalum inayoshikwa na Mtu Maalum Nyinginezo unaweza ukaongezea nawe...
1 Reactions
4 Replies
104 Views
Bila ya kuwa Mnafiki kama ilivyo kawaida yangu Kiuhalisia naanza Kwanza kumlaumu Yeye kwa kupenda Kujifanya ndiyo Nyerere wa sasa wa Tanzania wakati akijua kabisa Tanzania ya sasa ipo mikononi mwa...
5 Reactions
7 Replies
91 Views
Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Joseph Warioba, amesema matumizi ya nguvu yanaweza kuleta utulivu lakini hayawezi kujenga amani ya kudumu, akitaka nchi hiyo irejee kwenye misingi ya usawa...
1 Reactions
2 Replies
64 Views
Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Wapendwa, https://samiaawards.tz/mshiriki/260013 Naomba support yenu kwa kunipigia kura kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,katika kipengele Cha Habari za MAZINGIRA,pia unaweza kusoma habari hizo...
2 Reactions
3 Replies
34 Views
Habari, mimi ni mkazi wa Gongo la Mboto Kituo Kipya. Kuna club/bar inaitwa UBENA SPORT CLUB iliyopo karibu na reli ambayo imekuwa ikitusumbua sana sisi wakazi wa eneo hili kutokana na kelele kubwa...
0 Reactions
4 Replies
57 Views
KAMBI MAALUM NA MAFUNZO YA MATIBABU YA MAUMIVU YA MAGOTI NA MABEGA KUELEKEA MICHUANO YA AFCON 2027 Dar es Salaam: 07/09/2026 Uongozi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) unapenda...
2 Reactions
1 Replies
55 Views
Namheshimu na ni Mzee wangu kutoka Mara (Musoma) ila namuomba atulie na aachane na haya Mambo ya kupenda Kuzungumzia hali ya Siasa nchini kwani hata afanyeje au aseme nini au akosoea vipi hakuna...
5 Reactions
13 Replies
133 Views
Naam nina mashaka makubwa sana na hawa ndugu zetu walio toka sauzi. Hasa wale ambao afya zao hazijaharibika sana kwa madawa ya kulevya, Hofu yangu kubwa ni USALAMA WA RAIA na MALI ZAO, Kuna...
5 Reactions
16 Replies
217 Views
Kwa tunaojua Saikolojia na wenye Malaika wazuri Vichwani mwetu hii si dalili nzuri Kwako hasa kwa nafasi uliyonayo.
1 Reactions
0 Replies
231 Views
Mamlaka zimetoa kanuni mpya zinazowataka watu wote wanaofanya biashara kupitia mitandao ya kijamii kuonyesha Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN), Cheti cha TIN, au Cheti cha Usafishaji wa Kodi...
0 Reactions
7 Replies
108 Views
Back
Top Bottom