Jinsi ya kutumia namba yako ya bahati katika shunguli za kila siku

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
489
Namba ya bahati ni ile inayokokotolewa kutokana na jina lako na la mama yako na mwishiwe katika mahebu hayo hupatikana namba inayoaminika kua ni namba ya bahati katika maisha yako
Namba hiyo ya bahati hutumika katika shughuli mbali mbali.

1. katika namba yako ya simu ni muhimu namba yako ya bahati iwemo na ijirudie rudie
2.unapotaja bei ya kitu kwa wateja wako ujumuishe namba yako ya bahati ndani ya bei utakayotaja
3.nembo zako zijumuishe namba yako ya bahati
4.majina unayotumia ujumuishe namba yako ya bahati
5.uiandike na uiweke katika malaha ambapo kila siku lazima uione

hii namba inaamajabu na miujiza mikubwa sanna na kila mtu ananamba yake yake ya bahati jitahidi uijue
 
Inakokotolewa kwa kutumia Simpson rule ?? Bodmass,Taylors theorem au kitu gani Mkuu ??
 
jamani lengo langu ni kuelimisha ila kama unaswali uliza tu ili niweze kuendelea kukuelimisha
 
Back
Top Bottom