Kwanini kusiwe na tozo kwa magari yanayopita Mikumi?

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,671
40,918
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000) kwa makubwa

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000).

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
Sawa mwanauchumi kww wazo la kupanua wigo wa mapato, ila ungepeleka kwenye wizara husika walifanyie kazi, tene pendekeza iwe 10,000/= kabisa ili watu wazidi "kupata tabu sana"
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000).

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
watu wanapita pale kwakuwa i;e ndo njia pakee eneo lile hakuna anyepita pale ili kuona wanyama so kuwalipisha watu kilazima c fair
 
Zamani kulikuwa wanalipia, naona waliacha sijui sababu ilikuwa nini, labda ilikuwa enzi zile za road toll.
 
Walisema wanaoipenda ni wasio na elimu na wazee.

Mi nahisi walimaanisha ambao hawajaelimika na wazee.
 
Wewe kila moment unafikiri ushetani, mauaji, tozo, kodi, utekeji and the like! Sijawahi kuona unaandika jema kwa watu
Na siku zote mashetani wanafikiri ushetani wao na kutaka watu wote waishi kama mashetani
 
Angalau hata shilingi mia tano (500) kwa gari ndogo na elfu moja (1000).

Hii itasaidia kuongeza pato,kwani kila anayepita pale anaona wanyama.

Au mnasemaje wadau?
Tuoneeni huruma jamani mtatuua kwa huu unyonyaji wa kila uchwao
 
Wewe kila moment unafikiri ushetani, mauaji, tozo, kodi, utekeji and the like! Sijawahi kuona unaandika jema kwa watu
inashangaza sana ; watu mnalazimisha Serikali ifanye mambo bila kutaka kuwa sehemu ya utekelezaji kwa kuchangia kupitia kodi.
 
Back
Top Bottom