basi matapeli mbna hawatangazimakato yapo asilimia 18 mimi nilishnda milioni tano pamota na makato wamenipa milioni 4 na laki moja
mm bado hawajanishawishi nichezeUtapeli tu
dyu aiseeMakato yapo kama kawaida, pia kuna bima, na mambo kibao..
ngoja tuoneSubiri wataalam wanakuja
Unagawana na nani tena?kwenye hii michezo makato yapo juu balaa,hela ya kwako unayocheza ila makato yakija ,unagawana nao
Tatu mzuka wanakatwa kodi 18%Nashindwa kuelewa hii michezo ya tatu mzuka pesa wanazotangaza unashinda mfano juzi mil 300 kwenye zile pesa kuna;
1. Makato ya kodi au hamna
2. Kama yapo mbna hawatangazi
Anaejua anijuze
kwasababu sisi tunaobeti mpira hio tax anakatwa alieshinda kwa yako maana hiyo wanakatwa wao hata kama mtu kashindaTatu mzuka wanakatwa kodi 18%
hilo nalo neno nimechunguza aliyeshinda mill 300 jpili siku ya KUMTANGAZA ALIULIZWA UMETUMIA KAMA KIAC GANI AKASEMA KM ELFU 27 JUZI KWENYE SHILAWADU AKAULIZWA PIA AKASEMA KATUMIA KM ELFU 95 NIKAPATA MASHAKA NA MAJIBU YAKE NA USHINDIhivi kuna mwana jf amewahi kushinda?
ni kweli wanashinda?
mbona sijawahi kuona aliyeshinda hapatikani hewani?
Kilichotakiwa kukatwa kodi ya vat ya 18% ni ile hela unayotumia kukata tiketi. Kama hawafanyi hivyo ni kosa maana waendesha bahatinasibu ndio vat registered, sio mahindi.makato yapo asilimia 18 mimi nilishnda milioni tano pamota na makato wamenipa milioni 4 na laki moja
kwanini kwenye matangazo yao hawaongelei hili mfano unakuta simu makampuni yanasema hio bei imeinclude VATKilichotakiwa kukatwa kodi ya vat ya 18% ni ile hela unayotumia kukata tiketi. Kama hawafanyi hivyo ni kosa maana waendesha bahatinasibu ndio vat registered, sio mahindi.
Mshindi anatakiwa kukatwa kodi ya mapato. Mapato hayo ni yale yatakotokana na wewe kushinda. Mfano unishinda millioni 10, itagawanywa kwa 12 ili kuoata mapato ya mwezi. Halafu kodi itaangaliwa kwenye tax table ya PAYE. Kama vile mfanyakazi anavyokatwa. Mshindi wa mil 10 angetakiwa kukatwa kodi ya 1,585,188. Na sio 18% ambayo ni 1,800,000.
Kwa mshindi wa mil 5 angetakiwa kukatwa kodi ya 341,198.4.
Ukokotoaji unafanyika kwenye tax table.
kutakua na ujanja paleMichezo ya ajabu sana jana nilicheza Tsh 1000 nilitabiri namba Tatu kati ya hizo zikitokea mbili eti nikaambiwa nimepatiaenamba mbili ktk mpangilio tofauti hivyo nikashinda shilingi 2000 lakini kwenye matangazo wanatuvutia kuwa tutashinda milioni 10
Sasa ktk namba Tatu ninapatia mbili kwanini wasitoe hata laki mbili?