Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,365
Siku zote hua naamini huko mbele watu wana akili kubwaz hasa Amerikani na Ulaya, hii haimaanishi huku kwetu hawapo lahasha ila ni vile kuna kuzidiana.
Sasa straight to the topic,
Najua mnakumbuka siku chache zikizopita rais trump alikutana na kufanya mazungumzo na rais wa russia bwana Putin. Baada ya mazungumzo wakapata wasaa wa kuzungumza mbele ya wanahabari ok! Sasa mmoja wa wanahabari akamuuliza Trump analizungumziaje suala la Rusia kuingilia uchaguzi wa marekani? Trump akajibu ".......I DONT SEE WHY IT WOULD BE...... (RUSSIA)". Kwamba haoni sababu kwa nini iwe Rusia.
Baada ya hiyo statement huko Amerika watu wakakasirika na kum crash sana sana lakini mzee baba Trump akakausha tuu. 24 hrs baadae amerudi Marekani kwenye moja ya mahojiano na media akajitetea kua alikosea kuongea badala ya neno "WOULD" alikusudia kusema "WOULDN'T". Kwamba ile statement ibadilike kutoka ..... i dont see why it would be kua i dont see why it wouldn't be na cha ajabu wale Americans walio kua wanam mind wakakubali kua lilikua ni kosa la kimatamshi..... Hivi kweli Americans wamekua na akili ndogo kama Le Mutuz kiasi hiki??????????