bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
Habarini za wakati Ndugu katika Forum yetu hii pendwa JF.
Kuna hili neno ambalo limejizolea umaarufu na linazidi kuchanja mbuga katika ubora wake maana kila mtu analielwa na kulitumia katika mazingira mbalimbali.
Katika matumizi yake naona kama kuna sehemu linatumika vibaya hasa katika jamii yetu hasa pale mtu anapowashirikisha watu wengine katika jambo fulani ambalo kwa namna moja ama nyingine analiona laweza kuwafaa kwa manufaa fulani basi hapo ndipo utasikia
"Ukiona mbongo anakuita kwenye fursa basi ujue ww ndio fursa"
Sasa hapa ndipo mm napokosa kuelewa,hv ni kosa mtu kuwa fursa ya mwingine????
Nijuavyo mm ni kuwa kila mtu ni fursa ya mwingine maana tunategemeana na ndio maana
Mkulima anategemea
-Wafanyakazi,wafanya biashara n.k.
Mfanyabiashara anategemea
-wafanyakazi,wakulima n.k
-Kinyozi anakutegemea ww muuza dukani,mfanyakazi n.k
Sasa kwann neno au dhana hii ya fursa watu tunaitumia vibaya?maana wengi tunaitumia km dhana Fulani ya UTAPELI na kuwaogopesha watu wengine kutoshiriki katika wazo fulani alilolitoa mtu .Ni jambo jema kuwa na tahadhari lakini tusiyahukumu mawazo ya watu na kuyajudge km utapeli wakati hatuna ushahidi wa kutosha wakuu.
Linapotumika neno hilo km tahadhari linatutisha tulip wengi na kuanzia kuyaogopa mawazo mengi ambayo mengine hata hayana mlengo huo wa utapeliTutahadharishane kweli ila sio kutishana kwa kila jambo kisa UMELIJUA NENO FURSA.
Nawasilisha bandiko.