Balozi wa Tanzania nchini Uingereza kukutana na watanzania waishio nchini Uingereza

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Tangazo linasadifu uzi mzima...
IMG-20180723-WA0078.jpg
 
Watanzania wengi walioko Uingereza wanaogopa sana hizi Formal Meetings kwasababu wengi wako kule kiholela. Kibaya zaidi ni kwamba Watanzania waishio Uingereza wana matabaka sana na ushirikiano hakuna kama miaka ya nyuma.
Wachache sana ndiyo wana tabia za kushirikiana lakini wengi wao ili uwe rafiki yao ni mpaka wajue wewe ni mtoto wa nani au unaishi sehemu za kishua.

NB: Japo hizi High Commissions zilianza kuzorota baada ya Serikali ya CCM kuanza kuleta undugu pale Foreign Affairs.
Unakuta kiafisa Ubalozi ni kitoto cha fulani na kina dharau kweli, hata ukienda pale havikujali vipo vipo tu(Full Upumbavu)
 
Back
Top Bottom