Shahidi huyo wa kwanza wa upande wa utetezi katika kesi ndani ya kesi, aliieleza mahakama hiyo kuwa wakati analazimishwa na polisi kusaini maelezo hayo akiwa Moshi, alinyweshwa pia maji ambayo...
MNYUKANO wa kisheria umeibuka katika Mahakama Kuu, Kanda ya Moshi kuhusu nani kati ya upande wa utetezi na upande wa mashtaka mwenye uwezo wa kutoa nyaraka yenye malezo ya shahidi mahakamani...
Watuhumiwa 6 katika kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya wamekutwa na kesi ya kujibu.
Mtuhumiwa mmoja, Jalila Zuber kaonekana hana kesi ya kujibu na...
Mtuhumiwa wa mauaji ambaye ni shahidi wa nane wa utetezi, Muslim Mmbaga (35), jana aliwaacha hoi wasikilizaji katika Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, alipodai mtu anayedaiwa kumuua, yuko mitaani...
Nimeamua kuandika uzi huu kujuzana na wenzangu wana jamvi..
Mapema wiki hii Mhe waziri Wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ninja Kangi Lugola amezindua kituo cha polisi mkoani Arusha.
Kituo hiki...
Inasemekana ana cheo huko ccm,ni maajabu lakini sitashangaa hata wanawake wa ccm wakishangilia,kama vile jinsi issue ya mimba mashuleni ambayo ilani yao inasema wakijifungua warudi shule ila...
Nimejaribu sana kutafakari kauli za kamanda wetu wa kanda maalum kuhusu shambulizi lililoleta kifo cha binti na jinsi anavyopindisha maneno na nikamkumbuka Kamanda mwingine aliye kuwa RCO Dar...
Wadau habari...... Ni jambo jema kumsifia mtu kwenye Jamii pale ambapo anakuwa amefanya jambo jema na la manufaa kwa Jamii kwa Ujumla. Katika maisha yangu ya kutumikaa Watanzania nimekuwa kwa...
Mshtakiwa wa pili, Shaibu Jumanne, maarufu kwa jina la Mredii katika kesi ya mauaji ya Erasto Msuya jana alitoa madai mahakamani akisema aliteswa na polisi hadi kupewa ulemavu, ikiwamo kuhasiwa...
Ukibakwa usioge. Wala usifute....utapoteza ushahidii, aiyebakwa anatakiwa kupelekwa hospitalini akiwa na nguo zake na uchafu, kwa sababu ushahidi wa Polisi na daktari kuwa tendo la ubakaji...
Kwa ari ilivyo mwaka huu wakazi wa Kusini na Lindi na Mtwara maua ya Korosho yalivyopendeza basi sina shaka wazee wetu watazidi kuongeza wanawake na kusafiri safari za mbali. Kwani imezoeleka kwa...
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
#yungtEmPeR
Wakati polisi mkoani Kilimanjaro wakitangaza kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya bilionea wa madini ya Tanzanite, Erasto Msuya (43), pia wamesema mauaji hayo ni ya kulipiza kisasi...
kizazi cha miaka ya hivi karibuni kimekuwa na tabia kutuvi ya kuwa na makundi yasiyo na tija. wao wanaita team. yaani team zambarau au team chausiku.
tumeona kwenye mitandao maarufu kama...
Mzuqa
Nimefanya kautafiti kwa kuhoji ana kwa hana baadhi ya wadau waamiaji/migrants wananiambia yani kazi zetu hizi za kubeba boksi hapa Brusseels ni ngumu na za kugombania. Unaweza ukaitwa leo...
*1. Kwenye mshituko;* Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua[emoji23][emoji23]
*2. Kwenye kupenda;*...
Kumbe bado wapo wanaendelea na utapeli wao,Leo nimepokea ujumbe Kutoka namba 0672346386 unaosomeka "NITUMIE IYO HELA KATIKA NAMBA HII 0756865241 JINA LITAONYESHA,{IMANUEL KIMARO}NITUMIE SASA IVI...
Geita. Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Emaco Vision ya mjini Geita wamepatwa taharuki baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuna mwanafunzi alikusudia kuwawekea...
Wiki hii imeanza kwa kishindo sana , huyu Gawio yule maduhuli basi tafrani.....
Moderators kama kichwa cha habari nimekosea basi naomba kurekebishwa.
Katika haya maisha tunayoishi binadamu hua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.