Wife wa Dunia

Wife wa Dunia

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,700
Aisee hivi huyu Ali Kiba wa ladha hizi yupo wapi?
Mackmuga,Mapenzi yana run dunia,Napenda kula,Hadithi,n.k
Leo nimeamkia nyimbo zake,aisee huyu janki alikuwa tishio,siku hizi sijui anaimba upuuzi gani,natamani arudie kuimba ule muziki wake wa zamani uliotufanya tuwe mashabiki wake,kama ni mmoja wa mashabiki wa huyu nguli na wewe dondosha jina la kibao chake ambacho huwa kinakukumbusha mambo flani back in the days,mimi nimeanza na hiki cha
Wife wa Dunia,moja kati ya vibao vikali kabisa vya huyu kijana,enjoy....
 

Attachments

Baada ya kuanza kurekodi nyimbo zake kwa man walter ndo akabadilika na kuanza kuimba masebene..ni kweli kuna tofaut kubwa kati ya kiba wa nakshinakshi na kiba wa mvumo wa ushuzi.kwa kifupi arudi kwenye melody yake ya zamani plus producer ambadilishe isiwe walter..kama anasoma humu na asikie
 
Back
Top Bottom