Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hello great minds Waja unena, "ulimi uliponza kichwa " Wengine husema " hata mpumbavu akinyamaza kimya huesabiwa mwenye hekima. Wenye hekima wamewai kuonya "mwanamke mpumbavu ubomoa nyumba...
9 Reactions
29 Replies
8K Views
Leo asubuhi sana nimeamushwa na ujumbe huu kutoka namba 062953411* bila shaka hii ni namba ya Hallotel, ombi langu kwa Kampuni ya Hallotel ni kwamba watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nasikia eti traffic wako mbioni kugagua leseni pamoja na vyeti vya vyuo vya udereva walikosomea madereva. Nijuavyo mimi 99.1% ya madereva Tanzania walipewa leseni zao mkononi bila kwenda vyuo vya...
3 Reactions
44 Replies
10K Views
Wakuu, naombeni ushauri ndugu zangu mliobobea kwenye bishara za hapa na pale hasa jijini Dar es Salaam. Mimi nina mtaji wa milioni tano tu kwa sana ambao nataka nijaribu kuuzungusha kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekuwa addicted mno kuangalia videos za ngono karibu kila siku. Nimejitahidi kuacha nimeshindwa ! Asubuhi nikiiamka lazima 'nistue' na video moja matata sana. Navizia mke wangu akitoka nje...
2 Reactions
80 Replies
13K Views
Team leaders na freelancers waliopo chini yenu wanasikitikika kwa makato makubwa na kupewa gawio ambalo haliendani na kazi walizozifanya mwezi wa 6. Ikumbukwe kuwa mitandao ya simu inawahitaji...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi hili la Prof Shivji kumtwanga mwenzake kijembe kama hiki limekaaje ?? Hivi huyu Shivji si ndiye yule muumini wa ile falsafa mfu ya Juche ambayo imechangia kuleta umasikini mkubwa sana hapa...
7 Reactions
36 Replies
8K Views
Wakuu kwa wale mliobahatika kuskia TBC international hasa wale wapenzi wa electro music mtakubaliana nami kwamba hawa jamaa ni shida na unaweza usijue kama ni TBC maana kama ni pini za ukweli hawa...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Tafsiri isiyo sahihi juu ya uongozi imetusababishia changamoto kubwa hadi sasa. Mtu sio lazima uwe Rais ili uhesabiwe kuwa ni kiongozi. Maadam tu kuna watu wanaotegemea huduma flani flani toka...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Jambo baya kabisa linalotuathiri watanzania; ni kudhani kwamba mtu hawezi kuwa kiongozi mpaka awe na cheo kikubwa, mamlaka au nguvu nyingi. Hali hiyo hutupelekea wengi kuamua kuwa wahanga wa...
5 Reactions
17 Replies
6K Views
Tatizo hili linachangiwa na sababu zilizo ndani na nje ya uwezo wa Jiji . Sababu zilizo ndani ya uwezo wa halmashauri hii ni pamoja na mamlaka ya serikali za mitaa kuwaleta pamoja wananchi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
NAOMBA KUULIZA:Kuna polisi akiendesha gari akagonga na aliyegongwa akafariki hakuna kilichoendelea hadi leo yupo mtaani anadunda tu kwani sheria za nchi hii ni kwa raia tu wengine.
0 Reactions
28 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Bw. Abdul Nondo amekamatwa na Auxilliary police wa UDSM majira ya saa tatu usiku huu chuoni hapo akiwa pamoja na baadhi ya wanafunzi wenzie. Mkuu wa...
11 Reactions
112 Replies
21K Views
Wanajamvi karibuni tutoe maoni ama ushari Kama mada inavyo jieleza. Watumishi wakada ya chini wamekuwa wakikumbana na hali ngumu sana ya maisha baada yakusitaafu nadhani nikwasababu ya mabadiriko...
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Mfanyabiashara wa Mirerani, Joseph Mwakipesile maarufu Chusa ametajwa tena kortini akidaiwa ndiye aliyetoa maagizo ya kuuawa kwa mfanyabiashara mwenzake, Erasto Msuya. Mbali na kutoa maagizo...
22 Reactions
313 Replies
55K Views
Tanzanian military has deployed tanks in Mererani to secure Tanzanite (Photo courtesy of Issa Michuzi Instagram). UPDATE: JWTZ wametoa maelezo jana magari hayo ya deraya yako huko Mererani kwa...
6 Reactions
195 Replies
25K Views
Kama kichea cha habari husika . Nawasalimu wote huku ndani. Poleni Na kufungiwa Na wengine yalitupata ya kutupata.Basi tunamshukuru Mungu mana ni mwingi wa Rehema Na utukufu.. Je mwenzangu...
11 Reactions
145 Replies
14K Views
Kwa karibu mwezi sasa nimegundua kusafiri na daladala kutokea Gerezani kwenda Manzese, mabibo, Urafiki,Sinza hata Mwenge njia bora sasa ni kuepuka kabisa kutumia usafiri wa mwendokasi Kama una...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Rasilimali ni neno pana lenye maana na tafsiri nyingi .sana..katika ulimwengu wa Leo .ili uweze kujikwamua kwa namna yoyote ile ..kielimu,kitamaduni ,kiuchumi na nyanja mbali mbali lazima uwe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sisi sote tunafahamu ahadi mbalimbali zilizokuwa zinatolewa na Serikali ya awamu ya tatu na ya nne kuwa Kiwanda cha General Tyre kingekarabiwa na kufunguliwa ili ianze kazi na wananchi kupata...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…