gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
Kama kichea cha habari husika .
Nawasalimu wote huku ndani.
Poleni Na kufungiwa Na wengine yalitupata ya kutupata.Basi tunamshukuru Mungu mana ni mwingi wa Rehema Na utukufu..
Je mwenzangu hapa katikati au huu mwezi wa sita ni janga gani lilikusibu??ili tufarijiane Mana kuna majanga yanaweza mkuta Mungu bila kufarijiwa hakika Sumu ya Panya inamuita .
Ila Namshukutu Mungu kanivusha sijanywa sumu wala nini.
Bali nimemkimbilia bwana wa mabwana.Bwana wa majeshi yote
Ameniokoa Na mwovu shetani.
Hakika Mungu ni wa upendo
Amenifunua Na kunionyeaha ya walimwengu..
Ni ngumu kuamini lakini Bwana wa Mabwana Mungu wa mbinguni amenishindia.Na aliyenitenda nimemsamehe Bure Najua Sio yeye ni Shetani.
Naomba nawe kama una lililokupata uelezee ili kufarijiana.
Aksante.