CHIMBULI WA CHIMBULI
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 468
- 160
Team leaders na freelancers waliopo chini yenu wanasikitikika kwa makato makubwa na kupewa gawio ambalo haliendani na kazi walizozifanya mwezi wa 6.
Ikumbukwe kuwa mitandao ya simu inawahitaji sana hawa watu wa chini kabisa kwani ndio chanzo cha mtandao kupata wateja wengi hivyo, hii inawapunguzia nguvu ya vijana kufanya kazi chini yenu. viongozi muwe makini katika kutatua changamoto ya watenda kazi muhimu kabisa katika kupanua wigo wa mtandao wenu.
Muwape vijana stahiki zao kulingana na kaziwalizofanya.