Prof. Issa G Shivji: Msinifananishe na Prof PLO Lumumba, mhubiri mwenye porojo nyingi

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Hivi hili la Prof Shivji kumtwanga mwenzake kijembe kama hiki limekaaje ??

Hivi huyu Shivji si ndiye yule muumini wa ile falsafa mfu ya Juche ambayo imechangia kuleta umasikini mkubwa sana hapa nchini ??

Pia si ndiyo naye aligeuka sana akaweka siasa za chama mbele akihujumu Katiba ya Warioba huyu ??
IMG_20180728_171920.jpg

CC: JokaKuu , Nguruvi3, chige, Wick, Red Giant
 
Ukiona hivyo tafuta na wewe cha kukupa utajiri.
kumbe umaskini wa Tanzania unasababu nyingi hadi hizo. Lord av mercy...
 
Tafuta kitabu cha Juche Ideology kilichoandikwa na Kim Il sung, babu yake Kim Jing un.Ukikisoma hicho kitabu ndiyo utaelewa Malcom Lumumba anacho maanisha.
Hahahahaha,
Mkuu Consigliere mzima ndugu yangu ??
Always happy to have you around. Hiki kizazi kipya cha wasomi wa Tanzania nakiangalia halafu nacheka mwenyewe.....
 
Hahahahaha,
Mkuu Consigliere mzima ndugu yangu ??
Always happy to have you around. Hiki kizazi kipya cha wasomi wa Tanzania nakiangalia halafu nacheka mwenyewe.....
Mimi mzima mkuu wangu. Hawa vijana tulio nao ni changamoto sana. Hawa ndiyo sababu iliyonifanya nijiapize kuhakikisha napambana ili kuibadili hii jamii irudi katika misingi.
 
Hahahahaha,
Mkuu Consigliere mzima ndugu yangu ??
Always happy to have you around. Hiki kizazi kipya cha wasomi wa Tanzania nakiangalia halafu nacheka mwenyewe.....

Juche si ndo kama ile ya Ethiopia baada ya kupinduliwa Selesie Haile. Nchi inaongozwa kijeshi jeshi kama korea ya kaskazini.

Embu nipe somo hapo mwalimu maana wanaotumia hizo itikadi watu wao wanakuwa maskini sana na wanazikimbia nchi zao. Niliangaliaga documentary ya korea kaskazini daktari mmoja aliendaga darasani akawauliza mnamjua Michael Jackson wakamwambia je ndo rais wako(daktari)?

Ila tuna kazi Tanzania
 
Tanzania kulikuwa na Elements za Juche kipindi cha Nyerere.
 
Tanzania kulikuwa na Elements za Juche kipindi cha Nyerere.

Ila mimi simkubaligi Nyerere mpaka leo bora ata angechelewa kudai uhuru. Miaka 27 aliyotawala na mawazo yake ya azimio la Arusha eti tumeonewa, tumetawaliwa, tumepuuzwa sasa tujenge nchi ambayo hatutaonewa, tawaliwa na kupuuzwa. Sasa cha ajabu huku kwetu pale TPC tulikuwa na shamba la mkonge. Baada ya mkonge kuanguka dhamani kwa makidai ya Nyerere ilisababisha mzee wangu kama Manamba kutelekezwa. Wakati Malkia alipotuma hela za wale manambe kama pension Nyerere alikula hela za mzee wangu.

Tukaja na RUKSA, tena SAYANSI NA TEKELINALOKUJIA bil kusahau MAISHA BORA KWA KILA MTZ.

Hawa wazee wetu ni wapumbavu sana
 
Ukiona Prof mzima na mwenye hadhi kama Shivij anamponda Prof mwenzake kwa maneno mepesi tena ya kimipasho..ujue ana shida au ni mwanzo wa mwisho wake umefika.

Pror P. Lumumba ana hadhi yake kwenye jamii, hata kama ana mapungufu yake haifai kabisa Shivij kuropoka kiasi hicho kwenye kadamnasi kubwa kama twitter
 
Ukiona Prof mzima na mwenye hadhi kama Shivij anamponda Prof mwenzake kwa maneno mepesi tena ya kimipasho..ujue ana shida au ni mwanzo wa mwisho wake umefika.

Pror P. Lumumba ana hadhi yake kwenye jamii, hata kama ana mapungufu yake haifai kabisa Shivij kuropoka kiasi hicho kwenye kadamnasi kubwa kama tweeter
Hahahahaha,
Prof Shivji bwana kaniachekesha sana leo.
 
Shivji simkubali kwa lolote walahi
Hata Mimi si wakubali wahindi wote. Ndio chanzo cha umasikini kwa nchi zote za afrika. Wakikaaa ktk nchi fulani, wanachofanya ktk nchi husika wanakamata viongozi wa nchi na kuwapa rushwa kuaribu baadhi ya malengo ya nchi. Mfano mdogo family ya GUPTA pale South Africa wamefanya wizi Mkubwa Kwa kushirikiana na raisi Jakob Zuma. Wameiba mpaka wamekuja kushituka juzi,
Kingine wahindi wa apa Tanzania ndio waliokuwa wanasomesha watoto wao Nairobi na South Africa wakawa wanakuja na kuongoza baadhi ya vyama vya ushirika uko ndio wakaiba na kuua viwanda vyote na vingine kuvichukua kwa bei rahisi sana. Hawa wote wakina Gulamal familyi, Azim Dewji familiy, Manji Family, na izi family nyingine za wahindi. Ni watu hatari sana ktk uchumi Wa nchi nyingi Sana'a. Sema viongozi wetu hawajui au hata kama wanajua wanashindwa watafanyaje, angalia sakata LA sukari, mafuta ya kula na business nyingine apa Tanzania
 
Ukiona Prof mzima na mwenye hadhi kama Shivij anamponda Prof mwenzake kwa maneno mepesi tena ya kimipasho..ujue ana shida au ni mwanzo wa mwisho wake umefika.

Pror P. Lumumba ana hadhi yake kwenye jamii, hata kama ana mapungufu yake haifai kabisa Shivij kuropoka kiasi hicho kwenye kadamnasi kubwa kama twitter
Amejidhalilisha tu huyu mhindi.
 
Back
Top Bottom