Msaada: Siku haiishi bila kuangalia video ya ngono

Msaada: Siku haiishi bila kuangalia video ya ngono

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Nimekuwa addicted mno kuangalia videos za ngono karibu kila siku. Nimejitahidi kuacha nimeshindwa !

Asubuhi nikiiamka lazima 'nistue' na video moja matata sana. Navizia mke wangu akitoka nje kufanya kazi nje chaapu napekenyua hiyo videos. Napenda sana zile za kinyume na maumbile jinsia tofauti.

Nifanyeje jamani ili niache ? Japokuwa ni tamu sana aisee.

Kwanza tupo wengi au ni mm tu?
 
Daah futa picha zote halaf wekanza kwaya na mahubiri then usikose kanisani haswa makanisa yankiroho kama eagt au TAG hyo hali itahama kwajina la YESU.
 
jitahidi sana kuwa karibu na Mungu hasa kwa kusali sana kila unapopata mawazo kama hayo, jaribu kila uwevyo ushinde kishawishi hicho kwani hukuzaliwa ili kushindwa ndo maana Mungu akakupendelea hekima na utashi; uvitumie. Ni hayo tu.
 
Aisee una mke halafu unaangalia porn za mashoga? ukizoea kula jicho la mkeo siku akizingua utatafuta shoga ulitafune Achana na huo ushetani keep mind yako busy au uchukulie wanaofanyiwa huo uchafu mmojawapo ni mwanao wa kiume/ndugu yako wa kiume ikishindikana hiyo uza smartphone nunua kitochi
 
Unatamani kumfanyia mkeo hicho kitendo, Unatamani mdogo wako wa kike afanyiwe,
unatamani mama yako mzazi afanye hicho kitendo......... Kama unatamani Iwe hivyo
kwa upande wako basi endelea... Kama hutamani watu wa nyumbani kwako watendewe
basi hata kuangalia usiangalie.
 
Kaka tupia ma Link wote tutazame kaka pilau hilo nisaidie kaka nipo chini ya miguu yako nitumie PM
 
Audition; umekwisha maana hutataka live wewe ukiangalia tu unamalizia mambo hapo hapo unaoga unaridhika. Hatari pole sana gonjwa hilo halina dawa
 
Back
Top Bottom