maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,345
- 15,852
Wakuu kwa wale mliobahatika kuskia TBC international hasa wale wapenzi wa electro music mtakubaliana nami kwamba hawa jamaa ni shida na unaweza usijue kama ni TBC maana kama ni pini za ukweli hawa jamaa wameshindikana. Nilikuaga nikitoka kwenye mishe zangu naiskia bila kujua ni radio gani sasa siku naskia ni TBC international nikacheka kwanza nikasema how comes jamaa ni wajanja hivi?
Changamoto ni kwenye watangazaji wao hawako vizuri sana ila uzuri hawana story nyingi ni pini kali tu. Hakyanani huenda jiwe hajawaskia maana sidhani kama hizi pini anazielewaga... Asijewarudisha kupiga zilipendwa. Binafsi TBC sijawahi kuwaelewa, ila kwa hii TBC international nawapa salute sana.
Big up and keep it up seems u have the best djs

Last edited by a moderator: