Mwizi anapigika Kariakoo mida hii

Mwizi anapigika Kariakoo mida hii

Status
Not open for further replies.

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,498
Reaction score
27,813
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
 
naona siku hizi mnaandika kimafumbo mafumbo tu.inshu ya mwizi na hili jukwaa letu la malavidavi wapi na wapi,mi huwa nikiwa na stress zangu nakuja huku jf mapenzi kuburudisha akili ya ubongo ila naona sasa mnakoelekea daaaah
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom