Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,585
Kumbe bado wapo wanaendelea na utapeli wao,Leo nimepokea ujumbe Kutoka namba 0672346386 unaosomeka "NITUMIE IYO HELA KATIKA NAMBA HII 0756865241 JINA LITAONYESHA,{IMANUEL KIMARO}NITUMIE SASA IVI.
Je ni hatua gani natakiwa kufuata kukomesha wezi hawa?
Je ni hatua gani natakiwa kufuata kukomesha wezi hawa?