nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Inasemekana ana cheo huko ccm,ni maajabu lakini sitashangaa hata wanawake wa ccm wakishangilia,kama vile jinsi issue ya mimba mashuleni ambayo ilani yao inasema wakijifungua warudi shule ila malaika wao mkuu alipoamua atakavyo walishangilia,kina halima madee walipojaribu kutetea kwa kusema kuna vibinti vingine huwa vinabakwa vina haki ya kuendelea na masomo wakawekwa ndani na mashangazi wa ccm wakashangilia kama kawaida ili kuunga mkono juhudi za malaika mkuu