Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke

Utofauti uliopo kati ya mwanaume na mwanamke

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,591
Reaction score
29,493
*1. Kwenye mshituko;* Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua[emoji23][emoji23]

*2. Kwenye kupenda;* Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae[emoji23][emoji23][emoji23]

*3.Kwenye kusaidia;* Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika[emoji23][emoji23][emoji23]

*4.Kwenye maamuzi;* Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri[emoji23][emoji23][emoji23]

*5.Kwenye kudanganya;* Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]

*6.Kwenye ugomvi;* Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, kexho tena[emoji23][emoji23][emoji23]

*7.Kwenye ndoa;* Mwanaume hutafuta maisha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha[emoji23][emoji23][emoji23]

*8.Kwenye kukata tamaa;* Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimuumize, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe[emoji23][emoji23][emoji23]

*9.Kwenye kula;* Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba[emoji23][emoji23]

*10.Kwenye siri;* Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana baadae huwa aibu [emoji23][emoji23][emoji23]

Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke....
 
Back
Top Bottom