kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Kwa ari ilivyo mwaka huu wakazi wa Kusini na Lindi na Mtwara maua ya Korosho yalivyopendeza basi sina shaka wazee wetu watazidi kuongeza wanawake na kusafiri safari za mbali. Kwani imezoeleka kwa mikoa hii pindi korosho zinapozaa kwa wingi na tena bei ikawa mzuri basi pana shaka Kusini panakuwa "KUCHELE"
Ari hii inathibishwa na muonekano mzuri wa Mashada ya maua yalivyopendeza.
Ps: Nachemaje mwaka huu kuchini mambo ni motoo, kwani kwa "Disko vumbi Nje Ntiti Ndani Ntiti"
Ari hii inathibishwa na muonekano mzuri wa Mashada ya maua yalivyopendeza.
Ps: Nachemaje mwaka huu kuchini mambo ni motoo, kwani kwa "Disko vumbi Nje Ntiti Ndani Ntiti"