Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam wna jopo nianze kuquorte slogan ya gavana wa zaman wa jimbo la california anold shwazniger ktk principle za mafanikio ansema if u want 2 success u have to be 22 inch biceps and u have...
4 Reactions
6 Replies
4K Views
Assalam wakuu, nadhani mu wazima wadau, niende direct kwenye mada, kuna kijana wa miaka 26 kila akipanda gari hasa daladala kwa umbali wa Gerezani hadi Gongolamboto na basi za mikoani huwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja alikuja pale Ardhi University kusomea mambo ya ubunifu wa majengo mlioingia madarasani mnaita architect. Yule dada alitoka kwenye familia moja mikoa ile ya kula ndizi kama...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Bora gari kuliko nyumba. Gari ni nyumba tosha kabisa.Unaweka vitu vyako vyote na unaenda mahali popote pale na unaweza kulala popote pale. Ukichoka mpe mlinzi tu buku akulindie gari yako nje...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Waziri wa Maji Prof.Makame Mbarawa ametoa muda wa miezi miwili kwa magwiji wa wizi wa maji kujisalimisha wenyewe na kupata msamaha ili kuunganishwa katika mfumo mpya wa ulipaji bili kwa njia ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
0 Reactions
2 Replies
3K Views
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI (CLAIM PROCEDURE) Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe...
4 Reactions
3 Replies
5K Views
muda kidogo nimekua nikiobserve,sisi watanzania tuna katabia ka kunywa soda bila kutumia glass.. hivi tuna matatizo gani?
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Poleni na pilika za weekend, Moja kwa moja naenda kwenye mada. Naombeni kujadiliana kuhusu jambo hili, eti mtu akiumwa hachangiwi ila akifa michango tele, kwa wakristo unavotoa hata mkono wako...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hawa jamaa wa tatu mzuka ni noma sana. Nimecheza mara ya kwanza na mwisho December 2017. Lakini mpaka leo wananitumia ujumbe. Wanajua kupamba hao. Mara utasikia...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Askari wa usalama barabarani wanatumia mashine zao kama kukomoa mtu vile, kosa la aina moja napigwa faini Sinai kufika Igoma kosa hilo hilo nabetishwa tena namuonyesha mkeka wala ajali lisaa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Maisha bwana ni safari ndefu sana! Enzi nasakata kabumbu sitasahau haya. Nikiwa maskani kitaa nilipigiwa simu na wadau, Baba la baba dmkali ibuka Leo kuna match ya fainali hapa mwananyamala, njoo...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa ambao mnajua ningependa kuelimishwa. Mfano ukiwa unaishi Tanzania, ikatokea umeenda kufanya kazi nje ya nchi,kazi ya muda mfupi tu na kurudi. Mfano wewe ni bondia umeenda kupigana tu na...
4 Reactions
35 Replies
9K Views
Two men drove a woman to a Lenexa apartment from a Kansas City parking lot and sexually assaulted her in the early morning hours of July 22, police said...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Ni ushauri tu kwa brother wangu aachane na mitandao hii ya ajabu ajabu arudi na atumie Ttcl mtandao wetu wa kizalendo
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa muda sasa siasa za Afrika na waafrika zimekuwa sikifanana na kutofautiana toka taifa moja hadi jingine hasa muundo na mwenendo wa kisiasa katika nyakati hizi za vyama vingi Afrika imekuwa na...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanasema tembea uone au subiria usimuliwe kuna sheria au tamaduni ambazo zinatumika kwenye nchi mbalimbali na ukiziangalia unakuta ni tofauti na ulivyozoea au hujawahi kabisa kudhani kama kuna...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
  • Closed
Wakuu Mbali na vijembe na kejeli zinazoendelea mitandaoni juu ya Mwanadada Jokate juu ya uteule wake kutoka kwa mheshimiwa rais. Nimepitia mitandaoni a.k.a nime googlize wasifu wake na nikapata...
3 Reactions
78 Replies
42K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…