ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Ni ushauri tu kwa brother wangu aachane na mitandao hii ya ajabu ajabu arudi na atumie Ttcl mtandao wetu wa kizalendo
Hamna mbona Charles Boniface mkwasa aliweza?Angemsumbua na ngebe kibao we huwajui hawa, atafanywa kibenten
mmmh amuache bibie wa Kenya?Ni ushauri tu kwa brother wangu aachane na mitandao hii ya ajabu ajabu arudi na atumie Ttcl mtandao wetu wa kizalendo
Yaani ana maana demu wake wa zamani amrudie maana sasa mambo yameivandio nini sasa?