Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,989
- 8,087
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hawa jamaa wa tatu mzuka ni noma sana. Nimecheza mara ya kwanza na mwisho December 2017. Lakini mpaka leo wananitumia ujumbe. Wanajua kupamba hao.
Mara utasikia HABARI MCHIZI, mara HABARI KIJUKUU, hujakaa sawa USIYUMBE MKUU, Sasa leo wametumiwa ACHA KUJISALITI TAJIRI WA KESHO. Yaani ki-ufupi ni wabunifu kwenye kula hela za watanzania wenye ndoto za mchana.
Niliwachangia kama shilingi elfu tatu lakini jinsi wanavyo nipamba utadhani mimi tu ndio nawaweka mjini na hawakati tamaa ati.

Last edited: