Aliyekuwa Mpambe wa Rais Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy akiongoza wanajeshi 300 kuchangia damu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
PHOTO-2018-07-25-13-25-28.jpg


Katika kuadhimisha siku ya mashujaa nchini Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy wa JWTZ ameweza kuwaongoza wanajeshi 300 katika kuchangia damu baada ya kufanya usafi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo leo tarehe 25 Julay 2018
 
Kumbe huwa anatabasamu....
Basi inawezekana aliishi masha ya tabu na mateso sana kipindi anafanya kazi kwa yule Baba.
 
Back
Top Bottom